Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Chadema waliobaki walidhani zile rusha hewani Kila tukio la Lowasa hata akicheka wanadhani ilikuwa bure!!!

Wakiandikwa kipindi kile Kila gazeti walidhani kuwa media zilikuwa zikitangaza bure .!!! Airtime ilikuwa inanunuliwa na kurasa za magazeti kulipiwa haikuwa bure
Siyo kweli...Enzi hizo kulikuwa na Uhuru wa habari
 
Aminini msiamini lissu hatoweza kupata kura hata 1000 kutoka mikoa ya kanda ya ziwa na kanda ya kati.
Hayo ni maoni yako.Uhuru wako wakutoa maoni unalindwa
 
Back
Top Bottom