Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020



😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hiyo gali aliyopanda mbona sjaielewa ati
 

Unyama aliofanyiwa na vyombo vya dola na serikali kutoonyesha hatua zozote za ufuatiliaji juu yake inatosha kumfanya awe rais na huenda akasaidia kurekebisha hayo makosa yanayowafanya baadhi ya wananchi hasa sisi wa hali ya chini tusijihisi salama katika nchi yetu.
 
Mkuu mategemea kura za lia lia,mlimshambulia ili aje kupata urais wa huduma,kwani kwa mwaka ni watu wangapi wanakufa kwa kushambuliwa hadi kuwe na haja ya.kumchagua lissu ili arekeshe mfumo?
 
Anayeuliza picha asubiri aone mammoth crowd iliyokuwa hapo kwa road wakati Mheshimiwa wakili msomi Tundu Lissu akitoka Tume kuelekea makao makuu ya chama area C baada ya kukabidhiwa fomu.

Naona leo Tume walipokea maelekezo ya kutoruhusu wafuasi wa chadema kuingia getini,

#NiYEYE
 
Vipi umati uliomlaki Airport Dar ulisababisha vurugu popote
Si umeona leo huko Dodoma kile kimsafara kilivyo wakwaza wana jiji la Dodoma wakati wa kwenda na kutoka Ofisi za NEC!? Dodoma wamefuata sheria bila shurti, si mnamjua mzee wa "watapata taabu sana".
 
Vipi online TV's zitarusha mubashara Hilo tukio.?

Tusije tukakaa mkao wa kula halafu wale vibaraka wa serikali wakakata mawasiliano!
Masuala haya ni PESA, SI UNAJUA MAMBO YA aittime!? Kama huna pesa hakuna wa kukutoa hewani sio masuala ya bure bure tu. Unachoweza kuambulia labda ni kanukta tu kwenye taarifa za habari. Vyombo vya habari viko katika msimu wa kuvuna. Usiwaone UVCCM wakirushwa ukadhani ni bure, no wanalipia kila kitu ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…