mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Akielezea hilo, asiwe mbinafsi AELEZEE na la Chacha Wangwe. Ni muhimu sana historia ya CHADEMA katika mapambano yao wasimsahau huyo ndugu. Lissu asiwe selfish in these issues ili watoto wadogo wa siasa za CHADEMA wajue na hilo. Mkumbusheni sana hili mgombea Lissu ili kumtendea haki Chacha Wangwe and may his soul rest in peace. Amen.Sidhani kama ni sahihi Tundu Lisu kuacha kuongelea shambulizi dhidi yake. Huo ni mfano mzuri wa mahali tulipo leo, na yeye kuwahakikidha wapiga kura kuwa mambo ya hovyo kama hayo yaliyompata hayatatokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafuriko dodoma
Yanajirudia yale ya 2005 mbowe kupata kura laki sita
Lisu atavuna kura laki mbili trust me.
Nikikumbuka mafuriko ya Lowasa miaka ile najisemea watz sio wa kuamini
Benz zote origin yake ni Ujerumani, hakuna asiyejua hilo. Hao wengine wanatengeneza under licence ya Mercedes Benz.Benz G series hiyo made in Germany
"Bloo" hujakata tamaa tu? Kila uzi wa Lissu hukosekani kutia neno. Una roho ngumu sana kama paka au baba yako jiwe.kwa nyomi waliojitokeza leo dodoma umewapa kichwa sana, yaani hapo sjui nan anapigia kura uyo mwenye tatizo la akili
Siasa ni watu/ushawishi.
SawaAminini msiamini lissu hatoweza kupata kura hata 1000 kutoka mikoa ya kanda ya ziwa na kanda ya kati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Molemo hata picha wala video?? Duuh mnatuangusha mazee.kwani mmezuiliwa??
Chadema swala.la Tehama mko nyuma sana sijui kwanini. Nyie ndio mnataka tuwape nchi?? You are so slugish. Shame on you!
"Bloo" hujakata tamaa tu? Kila uzi wa Lissu hukosekani kutia neno. Una roho ngumu sana kama paka au baba yako jiwe.
Lissu tayari amechukua fomu, iko hivyo.cha muhimu ni kutoa taarifa zenye ukweli , nipo kila sehem ndio
hujuma,ila akienda kwa utaratibu atapewa chanceUmewaza kama mimi ingawa anaweza kukutana na vikwazo kuingia hospitalini.
Chadema waliobaki walidhani zile rusha hewani Kila tukio la Lowasa hata akicheka wanadhani ilikuwa bure!!!Masuala haya ni PESA, SI UNAJUA MAMBO YA aittime!? Kama huna pesa hakuna wa kukutoa hewani sio masuala ya bure bure tu. Unachoweza kuambulia labda ni kanukta tu kwenye taarifa za habari. Vyombo vya habari viko katika msimu wa kuvuna. Usiwaone UVCCM wakirushwa ukadhani ni bure, no wanalipia kila kitu ndugu yangu.