jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwini point manchukulia marekani na uingerexa..mbona hamsemi kwa wahindi..wachina ama waarabu kama kuna waafirka kwenye serikali zao au majeshi yao.Sisi ni wabaguzi kuliko ubaguzi wenyewe, tunataka wenzetu wakienda nje wapewe nafasi ila sisi ni kero.
Kuna wanajeshi wangapi kwenye jeshi la marekani na uingereza tena wengine ni watanzania tu.
Utasikia mayor mwafrika marekani tena origin yao from somalia.
Obama kawa raisi wa marekani waafrika wakashangilia.
Zungu mtoto wa ilala, japo mimi sijawahi kumkubali ila kutomkubali kwangu si kwa msingi wa race yake.
Kwa Nini tuiige marekani na sio China au Japan, au India au Korea,au Urusi au Pakistan, au Iran au Israel.?Sisi ni wabaguzi kuliko ubaguzi wenyewe, tunataka wenzetu wakienda nje wapewe nafasi ila sisi ni kero.
Kuna wanajeshi wangapi kwenye jeshi la marekani na uingereza tena wengine ni watanzania tu.
Utasikia mayor mwafrika marekani tena origin yao from somalia.
Obama kawa raisi wa marekani waafrika wakashangilia.
Zungu mtoto wa ilala, japo mimi sijawahi kumkubali ila kutomkubali kwangu si kwa msingi wa race yake.
UKIWA Rais niteue niwe Waziri Mkuu.Tunajipendekeza sana kwa hawa magabachori utadhani babu zetu walikua wana watreat right..kumbe washe..zi tu hawa.
I wish ninge kua rais..gabachori wangeipata.
Kwanza hayawapendi swahili yapo kuwanyonya tu..huoni yamejitenga kila kitu kuanzia makazi..elimu..ngozi nyeusi huwezi oa dada zao..hata iweje.
Pili hata kishwahili hayakipendi..basi tu.
Sitangazi chuki ili huu wa kujipendekeza kwa weusi umezidi.
#MaendeleoHayanaChama
Uingereza hawapeani vyeo ili kupata unafuu wa maisha.Uingereza waziri wa mambo ya ndani na usalama wa taifa ni muhindi
Wakati wa Nyerere Kuna tofauti ndio maana hata Mawaziri walikuwa ni Vijana wadogo sana ambao kiukweli walishindwa mambo Mengi hasa uchumi zaidi ya kushindana kuvaa suti na vitambi.Napendekeza Raisi amteue mhindi Mchungaji Vernon fernandes au mkewe wamiliki wa Agape Television yeyote kati yao kuwa mbunge au mkuu wa mkoa au cheo chochote kikubwa
Wahindi wamesahaulika sana teuzi .Nyerere aliwakumbuka sana
Ni kundi lililosahaulika wanahitaji kuweko bungeni na serikalini
Mama Samia watendee haki hivi kweli hakuna hata mhindi mkuu wa wilaya au mbunge sio fair
Experience gani mkuu.?Experience anayo Kwa hiyo ni sawa...
Awe Mzalendo wa Tanzania kisawa sawa na aweke Maslahi yake ,ndugu zake ,bara lake na nchi yake Kando. Tanzania kwanza.
Mbona na wewe upo chini ya huyu dada!?Hizi njaa hizi, Sasa huyu mzee ameamua kuwa chini ya Huyu dada, angetunza heshima yake
Tungeanza kwanza Kulinganisha Domokrasia ya Marekani na ya kwetu ili tulinganishe pia na aina ya watu wanaopata uongozi na wanaupataje!Kwini point manchukulia marekani na uingerexa..mbona hamsemi kwa wahindi..wachina ama waarabu kama kuna waafirka kwenye serikali zao au majeshi yao.
#MaendeleoHayanaChama
Asavali kuna wengine wanataka kuwa masultani kwa kuwajaza watoto wao kila sehemu za uongozi wa nchi hii, AIBU kwao!Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
View attachment 2113082