Dogo Aslay na wasanii

Sasa hayo mambo yalikuwa bora zaidi kuliko mama aslay ukizingatia na yy ni mtu wa karibu sanaa na yule dogo also a manager
 
Sasa hayo mambo yalikuwa bora zaidi kuliko mama aslay ukizingatia na yy ni mtu wa karibu sanaa na yule dogo also a manager
Aliwakilishwa na familia yake pamoja na meneja wake mkubwa fellah, na unajua mambo ya mkataba kwa mfano shoo ya Zanzibar yeye ndo alihusika kupafom mwanzo mwisho na tiketi zilishauzwa na watu tayari wako kwa ukumbi ukishindwa kutokea maana yake utatakiwa kurudisha ghalama zote zilizotumika na faini juu si chini ya tsh. 500m.
 
Hii ni kweli na kwa duly sykes je? Ila poa mkuu life goes on
 
Wasanii kibao dizaini hawajampa support ya kutosha Dogo Aslay hasa kipindi kigumu cha kufiwa na mama yake mzazi..

hivi ccm waliudhulia kwenye msiba au wanawatumia kama toilet paper.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…