BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Sikuhiz kuna sapport za kidigitale zaid.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hayo mambo yalikuwa bora zaidi kuliko mama aslay ukizingatia na yy ni mtu wa karibu sanaa na yule dogo also a managerHii ya DIAMOND ngoja nimjibie, DIAMOND alipopata tu taarifa alifika kwenye msiba alishinda huko na akatoa pole zake na kuwaomba hudhuru wafiwa kuwa hatoweza kuhudhuria mazishi kutokana na mambo ya kikazi na hakutaka zipigwe picha za uwepo wake pale wala kuziweka ktk mitandao kwa sababu anazozijua mwenyewe.
Aliwakilishwa na familia yake pamoja na meneja wake mkubwa fellah, na unajua mambo ya mkataba kwa mfano shoo ya Zanzibar yeye ndo alihusika kupafom mwanzo mwisho na tiketi zilishauzwa na watu tayari wako kwa ukumbi ukishindwa kutokea maana yake utatakiwa kurudisha ghalama zote zilizotumika na faini juu si chini ya tsh. 500m.Sasa hayo mambo yalikuwa bora zaidi kuliko mama aslay ukizingatia na yy ni mtu wa karibu sanaa na yule dogo also a manager
Hii ni kweli na kwa duly sykes je? Ila poa mkuu life goes onAliwakilishwa na familia yake pamoja na meneja wake mkubwa fellah, na unajua mambo ya mkataba kwa mfano shoo ya Zanzibar yeye ndo alihusika kupafom mwanzo mwisho na tiketi zilishauzwa na watu tayari wako kwa ukumbi ukishindwa kutokea maana yake utatakiwa kurudisha ghalama zote zilizotumika na faini juu si chini ya tsh. 500m.
Wasanii kibao dizaini hawajampa support ya kutosha Dogo Aslay hasa kipindi kigumu cha kufiwa na mama yake mzazi..