Dogo Aslay na wasanii

Dogo Aslay na wasanii

Hii ya DIAMOND ngoja nimjibie, DIAMOND alipopata tu taarifa alifika kwenye msiba alishinda huko na akatoa pole zake na kuwaomba hudhuru wafiwa kuwa hatoweza kuhudhuria mazishi kutokana na mambo ya kikazi na hakutaka zipigwe picha za uwepo wake pale wala kuziweka ktk mitandao kwa sababu anazozijua mwenyewe.
Sasa hayo mambo yalikuwa bora zaidi kuliko mama aslay ukizingatia na yy ni mtu wa karibu sanaa na yule dogo also a manager
 
Sasa hayo mambo yalikuwa bora zaidi kuliko mama aslay ukizingatia na yy ni mtu wa karibu sanaa na yule dogo also a manager
Aliwakilishwa na familia yake pamoja na meneja wake mkubwa fellah, na unajua mambo ya mkataba kwa mfano shoo ya Zanzibar yeye ndo alihusika kupafom mwanzo mwisho na tiketi zilishauzwa na watu tayari wako kwa ukumbi ukishindwa kutokea maana yake utatakiwa kurudisha ghalama zote zilizotumika na faini juu si chini ya tsh. 500m.
 
Hii ni kweli na kwa duly sykes je? Ila poa mkuu life goes on
 
Wasanii kibao dizaini hawajampa support ya kutosha Dogo Aslay hasa kipindi kigumu cha kufiwa na mama yake mzazi..

hivi ccm waliudhulia kwenye msiba au wanawatumia kama toilet paper.
 
Back
Top Bottom