Mbele yake nyuma yetu ila hawa madogo hawa juzi juzi tu mamake enock kafariki leo aslay "some thing behind" kifo ni chetu ila hapa kuna namna naamini maneno ya babu tale plus r I p abdu bonge
Tena kaacha mtoto mdogo alifariki wakati wa kujifungua "umaarufu kweli kazi"R.I.P mama kumbe na enock naye kafiwa na mamake. Umaarufu nao una price .......................?
Sijakata haya mambo nasikia ndo yalimfanya ivan aachane na zari nasikia yule demu ni mshirikina balaaa alitaka kuimaliza familia ya ivan ndo wakatemana sasa mumemleta wcb kashakula wa nne faster duuuNi mipango ya mungu iyo bhana
Sijakata haya mambo nasikia ndo yalimfanya ivan aachane na zari nasikia yule demu ni mshirikina balaaa alitaka kuimaliza familia ya ivan ndo wakatemana sasa mumemleta wcb kashakula wa nne faster duuu