Dogo Asley afiwa na mama yake mzazi

Dogo Asley afiwa na mama yake mzazi

mbugu91

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
256
Reaction score
604
Msanii wa kundi la yamoto bendi dogo Asley amefiwa na mama yake mzazi.

Source: timesfm page yao fb, R.I.P mother

attachment.php
 
pole zako mdogo wetu Aslay..Mungu awape faraja ya kudumu
 
Jana nilimuona tmk hosptal huyo dogo alikuwa km kachanganyikiwa kumbe bi mkubwa alikuwa mgonjwa inna llilah wainna ilaihi raajiun
 
Mbele yake nyuma yetu ila hawa madogo hawa juzi juzi tu mamake enock kafariki leo aslay "some thing behind" kifo ni chetu ila hapa kuna namna naamini maneno ya babu tale plus r I p abdu bonge
 
kedrick Kidingi waambieni kina tale waache ushirikina sio mzuri mamake diamond alipona chupchup hadi wakampeleka india "why always them"
 
Last edited by a moderator:
Mbele yake nyuma yetu ila hawa madogo hawa juzi juzi tu mamake enock kafariki leo aslay "some thing behind" kifo ni chetu ila hapa kuna namna naamini maneno ya babu tale plus r I p abdu bonge

R.I.P mama kumbe na enock naye kafiwa na mamake. Umaarufu nao una price .......................?
 
Ni mipango ya mungu iyo bhana
Sijakata haya mambo nasikia ndo yalimfanya ivan aachane na zari nasikia yule demu ni mshirikina balaaa alitaka kuimaliza familia ya ivan ndo wakatemana sasa mumemleta wcb kashakula wa nne faster duuu
 
Sijakata haya mambo nasikia ndo yalimfanya ivan aachane na zari nasikia yule demu ni mshirikina balaaa alitaka kuimaliza familia ya ivan ndo wakatemana sasa mumemleta wcb kashakula wa nne faster duuu

Sasa yamoto band wapo wcb hamna point acha kuunganisha matukio yasio lingana
 
Back
Top Bottom