Okrap
JF-Expert Member
- Jul 13, 2022
- 1,112
- 2,311
Wapi?Mbona mtunzi wa huba amefeli sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi?Mbona mtunzi wa huba amefeli sana.
Upangiliaji wa visa, matukio ni mbovu na baadhi ya characters wake hawaelezeki.Wapi?
Watunzi wa Huba ni wakenya ambao ni mwanahabari Rashid Abdallah, Zara Mwangi na kuna mwandishi mwingine alikuwaga anaitwa Ibrahim Chitayi wakishirikiana na waandishi wengine kutoka kenya na producer ni lulu hassan ambaye mmewe ni Rashid. Kiukweli Huba ndio baba wa tamthilia zote unazoziona kwenye tv hata Selina na kikubwa kinachoifanya Huba ikae hewani na Dstv kutoa pesa kubwa kwao ni idadi ya watazamaji wake na ule ndo moyo wa Dstv. Licha ya mapungufu machache wamekuwa wanapokea ushauri na kufanya marekebisho hasa director na mwandishi.Mbona mtunzi wa huba amefeli sana.
Ilo lipo ata kwenye jua kaliUpangiliaji wa visa, matukio ni mbovu na baadhi ya characters wake hawaelezeki.
Picha video kusindikizia uzi vipo wapi?Hayo ni machache Kati ya mengi.
Avatar hao madogo wanafanyana nini ?Licha ya mapungufu machache wamekuwa wanapokea ushauri na kufanya marekebisho hasa director na mwandishi
Makeup artist waulizwe hili swaliHivi inakuaje kila tamthilia wanakua wanaonesha wapo kitandani na kuvaa nguo za kulalia?
Ila make ups na kope bado vimejaa usoni.
Hivi inakuaje kila tamthilia wanakua wanaonesha wapo kitandani na kuvaa nguo za kulalia?
Ila make ups na kope bado vimejaa usoni.
Picha video kusindikizia uzi vipo wapi?
✍️
Leta hapa tuoneNgoja tutafute
Leta hapa tuone
✍️
Sawa Leta hapaSawasawa.
Ila huwezi m-judge msanii Kwa kazi moja au clip moja.
Ukiona nimemtaja huyo Dogo jua nimefuatilia kazi zake nyingi katika Tamthilia tofauti tofauti
Sawa Leta hapa
Jua Kali ishaanza kuzingua, yaan wanaanza kutoka nje ya uhalisia, sijui Lamatah kakosea wapiii??Kingine kinachoniuzi ni Drama zinazungushwa sana Esp: Jua kali
ifike mahala kitu kiishe kianze kingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu anayejisifia kwa lips nzuri mtoto wa kiume...tuletee mwingine
tangu mwaka jana mm nmeachana nayoJua Kali ishaanza kuzingua, yaan wanaanza kutoka nje ya uhalisia, sijui Lamatah kakosea wapiii??