Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MIMI si mkuu!! MIMI naitwa "JUMA NYOSO" need I say more???Duh,mkuu hiyo ni avatar tuu
Kijana eeeh??? MIMI ni JUMA NYOSOKo unataka kusemaje sasa,acha fujo kijana
Mmmmh mama ya kweli hayoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]dogo g naomba uwe kibenten changu,nitakupa mahaba mahabat uwe unapaa hewani,ntakukabidhi wallet tukitoka out,vipodozi tutashea,moyo wangu umekudondokea dogo g wangu
nimemaanisha,usiwasikilize wanok wanok wanakuonea wivu,hope na shughuli unaiwezaMmmmh mama ya kweli hayoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dogo hatimaye zali limemdondokeadogo g naomba uwe kibenten changu,nitakupa mahaba mahabat uwe unapaa hewani,ntakukabidhi wallet tukitoka out,vipodozi tutashea,moyo wangu umekudondokea dogo g wangu
Hahaha yawezekana aiseeUnaweza shangaa Dogo akang'oa wadada humu na akagombaniwa, na hv wanapenda wa aina hy
hajanjibu kama yaliyomo yamoDogo hatimaye zali limemdondokea
Ndio ivo ivo mkuuNdio nn sasa
Hahahaaa. Kama mie mwaya.nimecheka jamani,pozi sasa
Nipo aiseeAh madame upo?
acha tu hajar,jf kiboko hata iweje utacheka tu,kibenten changu nakapendaHahahaaa. Kama mie mwaya.
Ila nimekuona Maa umejitolea kumpa mahaba ya hali ya juu.