DOGO G NI MOTO ISEEY!!!

DOGO G NI MOTO ISEEY!!!

dogo g naomba uwe kibenten changu,nitakupa mahaba mahabat uwe unapaa hewani,ntakukabidhi wallet tukitoka out,vipodozi tutashea,moyo wangu umekudondokea dogo g wangu
Mmmmh mama ya kweli hayoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmmmh mama ya kweli hayoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimemaanisha,usiwasikilize wanok wanok wanakuonea wivu,hope na shughuli unaiweza
 
dogo g naomba uwe kibenten changu,nitakupa mahaba mahabat uwe unapaa hewani,ntakukabidhi wallet tukitoka out,vipodozi tutashea,moyo wangu umekudondokea dogo g wangu
Dogo hatimaye zali limemdondokea
 
Hahahaaa. Kama mie mwaya.

Ila nimekuona Maa umejitolea kumpa mahaba ya hali ya juu.
acha tu hajar,jf kiboko hata iweje utacheka tu,kibenten changu nakapenda
 
Back
Top Bottom