sio jioni tu hakikisha anakula vizuri siku nzima! ujue miezi sita mtoto ameongezeka pia na capacity yake ya kula inaongezeka,,,at least kila baada ya masaa 2 mpige misosi !ntazingatia hilo la mlo hasa wa jioni
ukitaka usiwe na shida kuna website moja inaitwa baby centre jiunge kila siku watakutumia email kuhusu kukua kwa mtoto na mabadiliko hayo na nini cha kufanya mkuuchukua sifa zako mtoto ww
sio jioni tu hakikisha anakula vizuri siku nzima! ujue miezi sita mtoto ameongezeka pia na capacity yake ya kula inaongezeka,,,at least kila baada ya masaa 2 mpige misosi !
kwani jioni mnamlisha mara moja tu?pouwa! ntatoa hayo maagizo, ila nnaposemea msosi wa jioni ni kwa sababu nakuwa nyumbani so nnaweza simamia
ntazingatia hilo la mlo hasa wa jioni
kwani jioni mnamlisha mara moja tu?
inabidi usiku tena ale watoto wengine hawana capacity ya kuhold chakula tumboni hadi asubuhi kama nilivokuambia hivi vyakula vya kitoto maziwa nini nini digestion yake ni masaa 2 tu ..so assume amelala saa tatu saa tano hakuna kitu tumboni ...ni kuweweseka tu ...akiamka mpigeni misosihapana! ukitoa maziwa kwa chupa, na juice ya chugwa ila kabla ya saa ya kulala ndo hula cerellac au uji mzito wa mchanganyiko home made (mchele, karanga, mahindi, ngano) inakuaga hivyo mchana ndo kila baada ya masaa kadhaa anakula mlo mzito ukitoa maziwa ya mama
inabidi usiku tena ale watoto wengine hawana capacity ya kuhold chakula tumboni hadi asubuhi kama nilivokuambia hivi vyakula vya kitoto maziwa nini nini digestion yake ni masaa 2 tu ..so assume amelala saa tatu saa tano hakuna kitu tumboni ...ni kuweweseka tu ...akiamka mpigeni misosi
ok bye bwana ukumbuke kumpa na maji ...kila baada ya masaa 2 jitahidini ale kitu maziwa ,,chakula..juice hivo hivo kidogo kidogo! msalimie sana jioni njemanashkuru kwa hilo
ntazingatia hilo la mlo hasa wa jioni
naomba siku kadhaa za matazamio
ukute dada anampa piriton mchana kutwa! mahousegirl hawa tutajibebaje...katoto kanalala toka saa mbili hadi saa moja jioni chezeiya?
ahahaaa utampanua mtoto utumbo na ugali bana...umenichekesha sana ujue....ila tunashukuru mtoto amekuwa ok bwanaHali zenu wakuu! Ss ni hiv nlifatili shaur za watu wote walionishaur ila kwa vigezo tofaut na majibu ni kuwa kwanza nafkir mm binafs nikp na hyo shida pia coz nakuwa hivyo ila nlijua kwa dogo linaweza kua ni tatizo pia kwake yy nlizingatia ushaur wa smile ikawa night np cerelac ni ugal ss ikawa dogo c anavimbiwa sasa ikawa analala sana hadi unaogopa au anatoboa ila baada ya mda naona hali c mbaya analala vizuri tu baada ya kutengeneza ratiba mpya kwake katika mlo. Mda wa kupumzika. Vinywaji hivyo kameshazoea tunaenda vizuri tu! Asanteni sana wote ila special thnx kwa smile🙁