dogo halali usiku

dogo halali usiku

ntazingatia hilo la mlo hasa wa jioni
sio jioni tu hakikisha anakula vizuri siku nzima! ujue miezi sita mtoto ameongezeka pia na capacity yake ya kula inaongezeka,,,at least kila baada ya masaa 2 mpige misosi !
 
chukua sifa zako mtoto ww
ukitaka usiwe na shida kuna website moja inaitwa baby centre jiunge kila siku watakutumia email kuhusu kukua kwa mtoto na mabadiliko hayo na nini cha kufanya mkuu
 
sio jioni tu hakikisha anakula vizuri siku nzima! ujue miezi sita mtoto ameongezeka pia na capacity yake ya kula inaongezeka,,,at least kila baada ya masaa 2 mpige misosi !

pouwa! ntatoa hayo maagizo, ila nnaposemea msosi wa jioni ni kwa sababu nakuwa nyumbani so nnaweza simamia
 
ukitaka usiwe na shida kuna website moja inaitwa baby centre jiunge kila siku watakutumia email kuhusu kukua kwa mtoto na mabadiliko hayo na nini cha kufanya mkuu

shukria! ntafanya hivyo
 
kwani jioni mnamlisha mara moja tu?

hapana! ukitoa maziwa kwa chupa ambayo huwa ni mlo wa kwanza asubuhi ambayo huchanganywa na kiini cha yai la kienyeji na asali,, na juice ya chugwa ila kabla ya saa ya kulala ndo hula cerellac hii hupewa na asubuhi pia, au uji mzito wa mchanganyiko home made (mchele, karanga, mahindi, ngano) inakuaga hivyo mchana ndo kila baada ya masaa kadhaa anakula mlo mzito ukitoa maziwa ya mama
 
hapana! ukitoa maziwa kwa chupa, na juice ya chugwa ila kabla ya saa ya kulala ndo hula cerellac au uji mzito wa mchanganyiko home made (mchele, karanga, mahindi, ngano) inakuaga hivyo mchana ndo kila baada ya masaa kadhaa anakula mlo mzito ukitoa maziwa ya mama
inabidi usiku tena ale watoto wengine hawana capacity ya kuhold chakula tumboni hadi asubuhi kama nilivokuambia hivi vyakula vya kitoto maziwa nini nini digestion yake ni masaa 2 tu ..so assume amelala saa tatu saa tano hakuna kitu tumboni ...ni kuweweseka tu ...akiamka mpigeni misosi
 
nashkuru kwa hilo
 
nashkuru kwa hilo
ok bye bwana ukumbuke kumpa na maji ...kila baada ya masaa 2 jitahidini ale kitu maziwa ,,chakula..juice hivo hivo kidogo kidogo! msalimie sana jioni njema
 
Huyo mzima wa afya, anapenda tu kuwazingua usiku. Ila kama analala mchana sana ujue usiku kuupata ni kazi kweli. Hapo lazima dada nae awe anauchapa nae mchana, usiku wanalinda nyumba pamoja. dont bother kama halii, mtengenezee kitanda chake vizuri na michezo mingi humo wewe na mama yake malizeni michezo yenu iliyoshindikana kufanyika mchana.
 
Hali zenu wakuu! Ss ni hiv nlifatili shaur za watu wote walionishaur ila kwa vigezo tofaut na majibu ni kuwa kwanza nafkir mm binafs nikp na hyo shida pia coz nakuwa hivyo ila nlijua kwa dogo linaweza kua ni tatizo pia kwake yy nlizingatia ushaur wa smile ikawa night np cerelac ni ugal ss ikawa dogo c anavimbiwa sasa ikawa analala sana hadi unaogopa au anatoboa ila baada ya mda naona hali c mbaya analala vizuri tu baada ya kutengeneza ratiba mpya kwake katika mlo. Mda wa kupumzika. Vinywaji hivyo kameshazoea tunaenda vizuri tu! Asanteni sana wote ila special thnx kwa smile🙁
 
ukute dada anampa piriton mchana kutwa! mahousegirl hawa tutajibebaje...katoto kanalala toka saa mbili hadi saa moja jioni chezeiya?

Ha ha haaaa, Hilo nalo neno!
 
Hali zenu wakuu! Ss ni hiv nlifatili shaur za watu wote walionishaur ila kwa vigezo tofaut na majibu ni kuwa kwanza nafkir mm binafs nikp na hyo shida pia coz nakuwa hivyo ila nlijua kwa dogo linaweza kua ni tatizo pia kwake yy nlizingatia ushaur wa smile ikawa night np cerelac ni ugal ss ikawa dogo c anavimbiwa sasa ikawa analala sana hadi unaogopa au anatoboa ila baada ya mda naona hali c mbaya analala vizuri tu baada ya kutengeneza ratiba mpya kwake katika mlo. Mda wa kupumzika. Vinywaji hivyo kameshazoea tunaenda vizuri tu! Asanteni sana wote ila special thnx kwa smile🙁
ahahaaa utampanua mtoto utumbo na ugali bana...umenichekesha sana ujue....ila tunashukuru mtoto amekuwa ok bwana
 
Sio kihivyo smile sio sana mpaka ile kitumbo unakuta kinangaa hapana hyo ilikuwa mwanzo wkt nataka kuproov kuwa ni kwel ilikuwa njaa au kalikuwa na kiburi tu ndo zile cku 2 za mwanzo nikampiga ugali then tukarudi kwenye cerelac ila scale ikaongezeka kidogo kwenye mlo wa usiku na maji ikawa kila baada ya 2
hour
 
Back
Top Bottom