Siyo kiaina.Kumbe kiaina unaielewa old testament halafu unajifanya kichwa ngumu
Ndo tunaitaga ivo huku kwetu usukuman. Kuna dada mmoja alikuwa anaitwa juliana alikuwaga mzur sana na alikuwaga anagawa sana kumbe bhana yule dada alikuwaga na ngoma tiar kwahiyo alikuwaga anafanya kugawa tu Bure. Sasa baada ya watu kuanza kuugua ndo wakawa wanaambiana bhana Nina Juliana . watu wakikuhis tu unangoma wanasema jamaa anajuliana kwahiyo kuanza hapo ukimwi ukawa unaitwa Juliana na yule mwenye ukimwi akawa anaambiwa anaumwa JulianaLondon Boy Beira Boy kwanini NGWENGWE aka NGOMA aka MIWAYA inaitwa MKONO WA NYANI na JULIANA?
Aa nan aachiwe julianaZamu yako mkuu... Golden chance
Julianahahaaa mkono wa nyani ndio nini ""??
Hahahahaha shukrani kwa ufafanuzi......MKONO WA NYANI NI SHIDA AISEEEEEE.Ndo tunaitaga ivo huku kwetu usukuman. Kuna dada mmoja alikuwa anaitwa juliana alikuwaga mzur sana na alikuwaga anagawa sana kumbe bhana yule dada alikuwaga na ngoma tiar kwahiyo alikuwaga anafanya kugawa tu Bure. Sasa baada ya watu kuanza kuugua ndo wakawa wanaambiana bhana Nina Juliana . watu wakikuhis tu unangoma wanasema jamaa anajuliana kwahiyo kuanza hapo ukimwi ukawa unaitwa Juliana na yule mwenye ukimwi akawa anaambiwa anaumwa Juliana
Zipo had nyimbo za Juliana yaan ukimwi
JulianaMjomba mkono wa nyani ndio upi huo?
Amna noma mzeeHahahahaha shukrani kwa ufafanuzi......MKONO WA NYANI NI SHIDA AISEEEEEE.
Mfuasi wa Richard Dawkins katika ubora wakoSiyo kiaina.
Naielewa Old Testament kuliko inavyoeleweka.
Ni kama nilikuwepo katika kamati iliyoiandika.
Tafadhali usinishushe.
By the way, kuwaelewa sana Romeo na Juliet wa Shakespeare haina maana kwamba waliishi kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] ......unaniambia mimi au unakomenti haaahaaaFanya kazi niliyokutuma toka huku
yani aibu nilikuwa naona mimi huku!haaaa hahaa ulinikera binamu
Inawezelana Richard Dawkins ndiye mfuasi wangu ila hujui tu.Mfuasi wa Richard Dawkins katika ubora wako
binamu "mimi na wewe hatuna shida " kaa chini kunywa maji yashuke kabisaaa " huku uki relux ...ule ulikuwa ni upepo mbaya tu " umepita " siwajua watumishu " tuna stress za kutoongezewa mishahara " ... basi ndio nikajikuta nazimalizia kwako " maana ningesema nizipeleke kwa Jiwe " korokoroni pangenihusuyani aibu nilikuwa naona mimi huku!
Mtoto akililia wembe....Najaribu kufikiria hali ya kiafya aliyonayo dogo kwa ss hivi,huyu mwanamke Inasemekana amaeungua long time je kaamua kumuua na chali yetu!?...
Nafkiri kitabu cha The God delusion ndo kilichokupoteza ila hujachelewa kurdi kundiniInawezelana Richard Dawkins ndiye mfuasi wangu ila hujui tu.
Usinishushe hivyo.
Hahaaa.
Kitabu cha The God Delusion kimetoka nipo Marekani.Nafkiri kitabu cha The God delusion ndo kilichokupoteza ila hujachelewa kurdi kundini
Pls Wadau naomba hili liwe somo kwa Wengine.