Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Pole yake dogo janja na bora tatoo ya jina la uwoya aliiweka kwapani.
 
Kumbe kiaina unaielewa old testament halafu unajifanya kichwa ngumu
Siyo kiaina.

Naielewa Old Testament kuliko inavyoeleweka.

Ni kama nilikuwepo katika kamati iliyoiandika.

Tafadhali usinishushe.

By the way, kuwaelewa sana Romeo na Juliet wa Shakespeare haina maana kwamba waliishi kweli.
 
London Boy Beira Boy kwanini NGWENGWE aka NGOMA aka MIWAYA inaitwa MKONO WA NYANI na JULIANA?
Ndo tunaitaga ivo huku kwetu usukuman. Kuna dada mmoja alikuwa anaitwa juliana alikuwaga mzur sana na alikuwaga anagawa sana kumbe bhana yule dada alikuwaga na ngoma tiar kwahiyo alikuwaga anafanya kugawa tu Bure. Sasa baada ya watu kuanza kuugua ndo wakawa wanaambiana bhana Nina Juliana . watu wakikuhis tu unangoma wanasema jamaa anajuliana kwahiyo kuanza hapo ukimwi ukawa unaitwa Juliana na yule mwenye ukimwi akawa anaambiwa anaumwa Juliana

Zipo had nyimbo za Juliana yaan ukimwi
 
Hahahahaha shukrani kwa ufafanuzi......MKONO WA NYANI NI SHIDA AISEEEEEE.
 
Siyo kiaina.

Naielewa Old Testament kuliko inavyoeleweka.

Ni kama nilikuwepo katika kamati iliyoiandika.

Tafadhali usinishushe.

By the way, kuwaelewa sana Romeo na Juliet wa Shakespeare haina maana kwamba waliishi kweli.
Mfuasi wa Richard Dawkins katika ubora wako
 
1537435170480.png
 
yani aibu nilikuwa naona mimi huku!
binamu "mimi na wewe hatuna shida " kaa chini kunywa maji yashuke kabisaaa " huku uki relux ...ule ulikuwa ni upepo mbaya tu " umepita " siwajua watumishu " tuna stress za kutoongezewa mishahara " ... basi ndio nikajikuta nazimalizia kwako " maana ningesema nizipeleke kwa Jiwe " korokoroni pangenihusu
 
Nafkiri kitabu cha The God delusion ndo kilichokupoteza ila hujachelewa kurdi kundini
Kitabu cha The God Delusion kimetoka nipo Marekani.

Mimi nilishazibuka tangu niko Tanzania, nimesoma "The Philosophy of Religion: An Anthology", kabla ya "The Selfish Gene".

Kwa taarifa tu
 
Back
Top Bottom