Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Aisee Ilee ndoa ni Ngumuu kuliko hata Ugumu alioleta Mzee magu kwenye maisha yetuu...!! Dogo janja ampotezee tu yule manzi
 
Muandishi mashuhuri wa vitabu vya historia wa Uingereza - huyu Behaviourist kanifanya mimi intellectual, sasa nishampeleka kwenye ubuyu namrudisha kwenye u intellectual- Paul Johnson, alihojiwa na kipindi kimoja cha BookTV C-Span Marekani.

Akawa anatoa maoni yake, kipindihicho ndiyo Obama anakuwa Rais.

Akawaanaongelea usomi usomi, akaulizwa, utapenda RaisObama awe msomi msomi atuondoe kwenye ujinga wa Bush?

Akasema hatapendelea, wasomiwasomi wakiendeleza usomi sana wanakuwa boring, halafu wanafanya mambo kwa vitabu sana mpaka wanaharibu.

Angependa kuona Obama anakuwa anachanganya werevu wa kisomi na werevu wa kimtaa mtaa.

Sasa rafiki yangu Behaviourist asishangae akinikuta najichanganya kutoka ma "logical non sequitur" kwenye philosophy of religion, mpaka stories ya ku destress za Dogo Janja.

Dogo Janja anaweza kujadiliwa in the highbrow prism of a post-modernist existential Shakespearean fool's tragicomic Romeo and Juliet analogy.
wayaaaaaaaa!
ahahahahahahahahhhahah!
ahsanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Hujanijua tu.

Sio tu na deal na ubuyu.

Kwetu ndio Mbuyuni penyewe wauza ubuyu wote wakuja kununua kwetu.

Tena sasa hivi tunauza mpaka juisi ya ukwaju, ya passion, ya parachichi na mpaka ya tangawizi.

Usinishushe cheo kwamba napatikana kwenye Fermat's Last Theorem na Poincare's Conjecture tu.

I am like all men rolled into one, like the 99 Summer Jam.
enh ndiwooo
 
Mimi bado namtafuta mganga wa dogo janja...
 
Ila kafaidimo humu ndani wengi mnatamani mngepata kuonja radha ya uwoya na mmekosa kwahiyo mnaishia kurusha maneno mengi kwa dogo hata mm natamani lile tako angenipa hata usiku mmoja tuuu
?????/ ile si ngoma ya kijiji?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani

Hizo
20180919_091208.jpg
20180919_091154.jpg
 
Back
Top Bottom