dabluz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 2,456
- 1,672
Kapeace dzain kama povu..Huyu mvulana alijichanganya tu kwa lile dude na tako lake baya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapeace dzain kama povu..Huyu mvulana alijichanganya tu kwa lile dude na tako lake baya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora kula kwa macho,ukikumbuka zile mbinuko zake na tako lazima uwe kichaa
Kapeace nimenda ka promo kako..[emoji39] [emoji39]Ni mzuri na tako analo lakini baya mkuu maswala ya kula na kutokula hayanihusu mi ni mwanamke kama yeye siwezi kulizungumzia hilo
Njoeni huku bush muone vitu og huyo demu hanifati hata nyuma
UkimwiMi hata sijaelewa kitu nimetoka empty,
Waga unanitenga sana japo mi nakupendaga mnoUmeniita vizuri[emoji106]
wayaaaaaaaa!Muandishi mashuhuri wa vitabu vya historia wa Uingereza - huyu Behaviourist kanifanya mimi intellectual, sasa nishampeleka kwenye ubuyu namrudisha kwenye u intellectual- Paul Johnson, alihojiwa na kipindi kimoja cha BookTV C-Span Marekani.
Akawa anatoa maoni yake, kipindihicho ndiyo Obama anakuwa Rais.
Akawaanaongelea usomi usomi, akaulizwa, utapenda RaisObama awe msomi msomi atuondoe kwenye ujinga wa Bush?
Akasema hatapendelea, wasomiwasomi wakiendeleza usomi sana wanakuwa boring, halafu wanafanya mambo kwa vitabu sana mpaka wanaharibu.
Angependa kuona Obama anakuwa anachanganya werevu wa kisomi na werevu wa kimtaa mtaa.
Sasa rafiki yangu Behaviourist asishangae akinikuta najichanganya kutoka ma "logical non sequitur" kwenye philosophy of religion, mpaka stories ya ku destress za Dogo Janja.
Dogo Janja anaweza kujadiliwa in the highbrow prism of a post-modernist existential Shakespearean fool's tragicomic Romeo and Juliet analogy.
enh ndiwoooHujanijua tu.
Sio tu na deal na ubuyu.
Kwetu ndio Mbuyuni penyewe wauza ubuyu wote wakuja kununua kwetu.
Tena sasa hivi tunauza mpaka juisi ya ukwaju, ya passion, ya parachichi na mpaka ya tangawizi.
Usinishushe cheo kwamba napatikana kwenye Fermat's Last Theorem na Poincare's Conjecture tu.
I am like all men rolled into one, like the 99 Summer Jam.
?????/ ile si ngoma ya kijiji?Ila kafaidimo humu ndani wengi mnatamani mngepata kuonja radha ya uwoya na mmekosa kwahiyo mnaishia kurusha maneno mengi kwa dogo hata mm natamani lile tako angenipa hata usiku mmoja tuuu
Eti ehhhhWeka picha tudhaminishe
KabisaLile sio dude! Lile ni lidubwasha!
Kafulie tuKapeace dzain kama povu..
Heeeee we vepeeeee!!Kapeace nimenda ka promo kako..[emoji39] [emoji39]
Asante jamaniWaga unanitenga sana japo mi nakupendaga mno
Hapana hajafikisha hata 30ukute mleta uzi huu ni baba wa watoto watatu.. duh!