Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Uwoya kuna kipindi alikuwa mjamzito,mbona ujauzito hauonekani tena?
 
Teh teh teh
Wanawake huwa tunajuwa jinsi ya kumhandle mwaname definatel who has money.
When he undergo bankcrup we usually escape/isolate and creat Reason/ Sababu ili asinisumbuwe.

Pole Janjaro ndio Maisha yalivyo, Uwoya atamove to mtu mwingine avute mkwanja.

Pls Wadau naomba hili liwe somo kwa Wengine.
NO MONEY NO LOVE/SEX
no sex no love
 
hivi yule dogo ana mashine ya kujaza papa la yule muigizaji kweli, au ndio kazi ilikuwa kuzamishwa chumvini
 
Imma imma imma take you to Dubai...
I'll take you to Dubai...

Imma imma take you to Dubai..
I'll take you to Dubai..

Kuna waatu na viatuuu...

Nani anaujua wimbo huo?

Usifanye mchezo na maraha ya Dubai hahahaha.

Ila Dogo Janja kashajiwekea CV kwa Uwoya hapo daima atakuwa mtalaka wake.
...lol!nani hapendi kupelekwa dubei?
 
Ana umbo baya tu kiufupi miguu fito tumbo kiuno zero amebakiza sura na rangi nayo inasaidiwa na mekiap bila hivyo hashtui
mhhhh kapeace irene ana fito?hapana bwana !mwenye fito wema!na ana ushape zmuri kweli kweli!hv tako zuri na baya ni lipi!mie najua wema ndo ana kalio baya !refu hv!hyu uwoa limeshuka!lipo km kitunguu...hebu nidadavlie shost angu!
 
Back
Top Bottom