Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Mara nyingi,huwa nashauri sana,Mambo haya ya Mahusiano Mungu lazima awe mbele kwenye kuchagua na usitumie nguvu nyingi kwenye Mahusiano kumfanya mtu ateti akupende kwa action za kumpa miyela n.k, Sasa kipindi wanafunga ndoa tena kwa Mbwembwe,Mama yake na Dogo janja,Akasifu kabisa, leo vip?
Ushauri ni bure tu na iwe mfano Kwa wote,Mwenzi wa Maisha huwa hatutumii nguvu sana kuwapata tena Bali Ni kumwomba Mungu na kuwa na subira Maana Mungu anamjua mtu wa kufanana na wewe ni hayo tu
 
Dogo naye alikuwa anajitafutia shida. HIVI UNAWEZA KWENDA HAPO FERI UKAKUTA MATATIZO YANAELEA BAHARINI YAMELETWA NA MAWIMBI KUTOKA KUSIKOJULIKANA NA HAYANA UELEKEO UKAZOA NA KUPELEKA NYUMBANI UKASEMA UMEPATA?
🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
Hivi hadi Leo siamini kama walikua Mke na mume
 
Imma imma imma take you to Dubai...
I'll take you to Dubai...

Imma imma take you to Dubai..
I'll take you to Dubai..

Kuna waatu na viatuuu...

Nani anaujua wimbo huo?

Usifanye mchezo na maraha ya Dubai hahahaha.

Ila Dogo Janja kashajiwekea CV kwa Uwoya hapo daima atakuwa mtalaka wake.
Nuh mziwanda na benpaul kama sikosei
 
Wa bongo bana mmejaa ujinga Wa kiwango cha standard gauge.


Hiyo ni kiki Dogo janja na mwenzake wanawapima tu mnavyotokwa mapovu
 
Wa bongo bana mmejaa ujinga Wa kiwango cha standard gauge.


Hiyo ni kiki Dogo janja na mwenzake wanawapima tu mnavyotokwa mapovu
Aisee " hawakawiii wale maana kick ndio shibe kwao
 
Back
Top Bottom