The Most Winner
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 733
- 960
Mara nyingi,huwa nashauri sana,Mambo haya ya Mahusiano Mungu lazima awe mbele kwenye kuchagua na usitumie nguvu nyingi kwenye Mahusiano kumfanya mtu ateti akupende kwa action za kumpa miyela n.k, Sasa kipindi wanafunga ndoa tena kwa Mbwembwe,Mama yake na Dogo janja,Akasifu kabisa, leo vip?
Ushauri ni bure tu na iwe mfano Kwa wote,Mwenzi wa Maisha huwa hatutumii nguvu sana kuwapata tena Bali Ni kumwomba Mungu na kuwa na subira Maana Mungu anamjua mtu wa kufanana na wewe ni hayo tu
Ushauri ni bure tu na iwe mfano Kwa wote,Mwenzi wa Maisha huwa hatutumii nguvu sana kuwapata tena Bali Ni kumwomba Mungu na kuwa na subira Maana Mungu anamjua mtu wa kufanana na wewe ni hayo tu