Dogo Janja afunguka sababu ya kupangiwa ratiba ya kupewa unyumba na mkewe Irene Uwoya

Dogo Janja afunguka sababu ya kupangiwa ratiba ya kupewa unyumba na mkewe Irene Uwoya

Bill clinton alisema Africans are going crazy with technology.....mambo kama ayo ni ya familia hayapaswi kuwa disclosed kwnye mitandao...ts childish
 
Ndio Mastaa wetu hao....mungu awasaidie angalau wafikirie Na kuishi kama Happiness Magese,Mbwana samatta
Au waishi kama Basilla Mwanukuzi, Aina Maeda na Sylvia Bahame (wengi wamewasahau) kwa sababu hawaishi kwa kujionesha!
Maisha private kuweka instagram ni ushamba!
 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja ambaye ni mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Pancras Uwoya, ameweka wazi sababu za kupangiwa ratiba na mke wake huyo, jambo ambalo lilizua kizaa zaa baada ya kuiweka kwenye mtandao

View attachment 712554

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dogo Janja amesema alishtuka baada ya kuona ratiba hiyo imebandikwa ukutani alipoamka, na kueleza sababu zake.

“Nilikuwa nimelala nimeamka nikakutana na ratiba kwenye ukuta, nikaangalia duh!! nikaipost insta. Unajua yule ni mshkaji wangu sana alikuwa ananitania, na yeye ndiye alianza kuipost, na kimvua hiki uniambie ratiba!!? Atadondoka mtu”, amesema Dogo Janja

Wawili hao walifunga ndoa ya kimya kimya jambo ambao wengi hawaamni mpaka leo kuwa ni wanandoa, na pia kutokana na tofauti ambazo wanaonekana wanazo za kiumri.

Chanzo: EATV
Kupqngiwa ratiba ina maana nani anam-contral wenziwe?

Janja dogo kaolewa sio na bado atapelekeshwa huyu dogo
 
Kitendo cha kujifanya kama mwanamke kwny video kimemshusha thamani...watu wa AR mpeni somo mwenzenu
 
Ndo raha ya kuoa mwanamke anayejua kulea hii.

Kwa kuzingatia tofauti ya umri na tofauti ya body strength kati kao, ratiba kama hiyo ni muhimu kwa Janjaro kumwezesha aendelee kukua bila matatizo!
 
Upumbavu mtupuuu.....

Wimbo mbovu...hata mtembee uchi.
 
Back
Top Bottom