Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au waishi kama Basilla Mwanukuzi, Aina Maeda na Sylvia Bahame (wengi wamewasahau) kwa sababu hawaishi kwa kujionesha!Ndio Mastaa wetu hao....mungu awasaidie angalau wafikirie Na kuishi kama Happiness Magese,Mbwana samatta
Kupqngiwa ratiba ina maana nani anam-contral wenziwe?Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja ambaye ni mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Pancras Uwoya, ameweka wazi sababu za kupangiwa ratiba na mke wake huyo, jambo ambalo lilizua kizaa zaa baada ya kuiweka kwenye mtandao
View attachment 712554
Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dogo Janja amesema alishtuka baada ya kuona ratiba hiyo imebandikwa ukutani alipoamka, na kueleza sababu zake.
“Nilikuwa nimelala nimeamka nikakutana na ratiba kwenye ukuta, nikaangalia duh!! nikaipost insta. Unajua yule ni mshkaji wangu sana alikuwa ananitania, na yeye ndiye alianza kuipost, na kimvua hiki uniambie ratiba!!? Atadondoka mtu”, amesema Dogo Janja
Wawili hao walifunga ndoa ya kimya kimya jambo ambao wengi hawaamni mpaka leo kuwa ni wanandoa, na pia kutokana na tofauti ambazo wanaonekana wanazo za kiumri.
Chanzo: EATV
Mpododo..SAWA ENDELEENI KUPEANA TU MINYENYERE......WIMBO MPYA WA DONGO JANJA ULIOJIPODOA UNAITWAJE?