Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Shukran kwa ufafanuzi mkuu! Ni kweli nilisahau kuwa SA ipo kwenye category ya nchi iliyoathirika sana na Covid kwa mujibu wa toleo jipya la maelekezo ya wizara ya AfyaRapid test ni lazima kwa SA kwa sababu ni nchi ambayo ina variant wa covid-19.
Yaani kuna SA-variant. Lakini hakuna Rwandan-variant of covid.
Hizi nchi mbili kwa mfano, zinakuwa treated tofauti.
But ndani ya ndege si wote wanakua wamepima? Nililiwaza hili kisha nikajijibuje haiwezekani akapata maambukizi ndani ya ndege?
Acha umbwiga we dogo ingia karantini!Dar es Salaam. Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19...
But ndani
a ndege si wote wanakua wamepima? Nililiwaza hili kisha nikajijibuwa
kwani wanapima exactly wakiwa wanaingia kwenye ndege bila kukutana na watu wengine?But ndani ya ndege si wote wanakua wamepima? Nililiwaza hili kisha nikajijibu
Ndiyokwani wanapima exactly wakiwa wanaingia kwenye ndege bila kukutana na watu wengine?
Tena wamuweke siku 90Acha umbwiga we dogo ingia karantini!
mh okay mi nikajua ni kama huku kwetuNdiyo
Jibu la kizushi! Sasa hivi yeye ni KUBWA JANJA A.K.A DOGO JANJAKama alishapima South Africa haina haja kupima tena. Huo ni uonevu na unyang'anyi.
Swali la kizushi hivi dogo Janja umri wake umeganda tu? Huwa haongezeki miaka?
Kwa jinsi bongo ilivyo tunaishi kama hakuna corona hatuZingatii lolote la kupambana na corona na ndio sababu hata Dogo kaona wanataka hela tu na si kwamba wapo serious na corona.Yaani anaona kupima ni upumbavu. Kwani kupimwa ni kwa faida ya nani?
Huyu dogo kweli akili hazimtoshi.
Mtu alifeli form two unazani anajitambua uyo
Mkuu kwa hiyo unataka mtu atokaye India aingie tu halafu ajichanganye huko mtaani!?Yani huku mitaani wameachia tu watu waambukizane corona wanavyotaka halafu et mapambano yao ya corona wameelekeza kwa watu wanaoingia nchini kutoka nje ya nchi.
Angepima Tz halafu aende souz aone kama atapita