#COVID19 Dogo Janja ahojiwa Polisi, adaiwa kushawishi abiria wasipime COVID-19

#COVID19 Dogo Janja ahojiwa Polisi, adaiwa kushawishi abiria wasipime COVID-19

Tulikubaliana ndani hakuna korona na ilishaondolewa kwa maombi ya siku 3.
Sasa mbona wengine mnasema corona ya SA iliingia nchini na ndio mkawa mnahusisha na vifo vya watu na corona hiyo ya SA?
 
Mchaga mbahili huyo😂😂😂😂😂😂 bahati mbaya kaenda kulalamika twitter walipojazana team corona, team barakoa, apime tu
Acha wehu wewe mama huyo dogo ni marangi sio mchaga
 
Dogo aliwatambia watu Irene kamfia kwasababu ana gegedo kubwa. Irene akawa anamuangalia tuu kwasababu gegedo lake lilikuwa linaelea tu. Baada ya wiki mbili walipofunga ndoa Irene akasema this is bullshit kwasababu alizoea mijolobe mikubwa kama mkono wa mtoto mdogo (toddlers hand) akaamua kumkacha. Dogo ilimuuma sana
Utakuwa rafiki wa karibu wa Irene nini? maana hayo mambo ya ndani sana Irene hawezi kumwambia mtu asiyekuwa shoga wake sana.
 
Dogo vijihela vya endorsement vinampa kiburi huyu 🤣🤣🤣 nimeona kanasafiri safiri kanaenda Dubai na South mara kadhaa inaonekana shimo limetema.
Liteme wapi analelewa mpaka na dini kabadili ....aibu naona mie!
 
Kumbe analelewa dogo janja? Nani anamlea sasa maana mi nikajua ana mzigo
Kuna mwadada anaishi Arusha ni mfanyabiashara ndo anamlea,hata dogo kahamisha makazi siku hizi hayupo Dar,vikiumana atatulia tu kama Benpol.
 
Kuna mwadada anaishi Arusha ni mfanyabiashara ndo anamlea,hata dogo kahamisha makazi siku hizi hayupo Dar,vikiumana atatulia tu kama Benpol.
Ahaah itakuwa ndio yule demu anampost post mara sijui wapo Dubai! Nilikuwa nshaanza kujilaumu nafeli wapi maana washamba wanakuja na kutusua Town mie bado kumbe ni miundombinu ya msingi kiuno 😂😂😂
 
Kuna kitu kinaitwa sensitivity na specificity kwenye vipimo vya maabara, unaweza kupima kipimo kikaonyesha hauna ugonjwa kumbe kiuhalisia unao, ila kipimo hakikuweza kugundua.....huyo dogo hawezi kujua hizi ishu lazima aone kama ni manyanyaso...
 
Kuna kitu kinaitwa sensitivity na specificity kwenye vipimo vya maabara, unaweza kupima kipimo kikaonyesha hauna ugonjwa kumbe kiuhalisia unao, ila kipimo hakikuweza kugundua.....huyo dogo hawezi kujua hizi ishu lazima aone kama ni manyanyaso...
Sasa hiyo inaleta tafsiri gani kwa huko alikopima na kuweza kupanda ndege ikiwa vipimo vilionesha hana ugonjwa halafu kumbe anao ugonjwa na ndege kapanda?
 
Nimejaribu kuwaza yale ya Tanzania na Kenya pale mpakani. Ina maana mtu akija na Cheti kutoka Kenya anapimwa tena? Au mkutano wa juzi mie sijauelewa.
Umeongea point sana. Inabidi dunia ielewe na kukubaliana
 
Kuna uwezekano wa kuambukizwa ukiwa angani? Kama wote walipima na wakapanda ndege, sidhani kama kulikuwa na umuhimu wa kupima tena.
 
Kama kipimo alichopima SA kimeshapita masaa 72 hapo hana namna lazima na huku apimwe (Kwa mujibu wa maelekezo mapya ya wizara ya afya), vinginevyo yupo sahihi kuhoji kupimwa tena.
Sidhani kama kipimo kitakuwa kimepita siku 3.
 
Mbona haihitaji nguvu kujua kwamba anatakiwa apime. Kule ni S.A na hapa ni Tanzania haoni utofauti huo. Labda angesema katoka Arusha kaja Dar.

Anapingaje protokali za nchi husika. Uyu dogo licha ya kupimwa corona apelekwe pia muhumbili huenda malaria inamsumbua.
Hata kutoka Arusha kuja Dar ni yaleyale tu.
 
Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19.

Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Serikali, wenyeji wanaorejea na wageni kutoka nje wanatakiwa kuwasilisha kipimo kinachothibitisha hawana maambukizi ya Covid-19, huku wanaotoka nchi zenye maambukizi wakitakiwa kupimwa kwa kipimo maalum ambacho kitagharimu Dola 25 za Marekani, sawa na Sh57,500 kwa kila msafiri.

Inadaiwa kuwa Dongo Janja aliyekuwa akitokea Afrika Kusini alipinga kufanya kipimo hicho ambapo kupitia ukurasa wake wa Twitter msanii huyo wa Bongofleva ameandika, hii nchi Tanzania bado ina uonevu wa kishamba sana, sidhani kama mama yetu Rais Samia Suluhu anafahamu.. muda huu nafika uwanja wa ndege wa kimataifa nikitokea Afrika Kusini na Afrika Kusini huko nimepima na nina majibu ya corona lakini hawayataki wanataka hela kutupima upya.”

“Sasa ndugu zangu wa Tanzania mimi nina hela lakini sitoi hata kumi..., mniletee uji kituo nitakachokuwepo nikikosekana hewani shughulikeni na Polisi wa uwanja wa ndege.”

Chanzo: Mwananchi
Hili ni tatizo la hawa wanaojiita ma superstar wa bongo wakati ni utopolo tuna wala hawajui sheria na haki zinasemwaje.
 
Ahaah itakuwa ndio yule demu anampost post mara sijui wapo Dubai! Nilikuwa nshaanza kujilaumu nafeli wapi maana washamba wanakuja na kutusua Town mie bado kumbe ni miundombinu ya msingi kiuno 😂😂😂
Unafeli wapi acha kabisa,hawa vijana wana maisha magumu kuliko unavyodhani mradi tu watupie mapicha picha,sasa wakiachwaga wanatia huruma acha
 
Back
Top Bottom