#COVID19 Dogo Janja ahojiwa Polisi, adaiwa kushawishi abiria wasipime COVID-19

#COVID19 Dogo Janja ahojiwa Polisi, adaiwa kushawishi abiria wasipime COVID-19

Dogo hajui kua hio korosho anaweza kuipata humohumo ndani ya ndege wakati wa safari.
Huku anapokuja ndio nadhani imejaa maana mikusanyiko kama yote tena bila tahadhari zozote ndio maana Dogo anaona ni ujinga kulipishwa et wampime corona wakati watu wenyewe hawapo serious na hiyo corona hivyo ni upigaji tu.
 
Haueleweki wewe waliosema alipe unawapinga na waliosema wasilipe pia unawapinga.
Hoja yangu sio kulipa au kutokulipa bali ni mantiki ya huko kufanya hivyo vipimo. Yani kwamba huku ndani tuambukizane corona tutakavyo ila mtu akitoka nje ya nchi ndio tunajifanya kujali maambukizi ya corona na kutaka tumpime.
 
Hoja yangu sio kulipa au kutokulipa bali ni mantiki ya huko kufanya hivyo vipimo. Yani kwamba huku ndani tuambukizane corona tutakavyo ila mtu akitoka nje ya nchi ndio tunajifanya kujali maambukizi ya corona na kutaka tumpime.

Tulikubaliana ndani hakuna korona na ilishaondolewa kwa maombi ya siku 3.
 
Nchi yotote unayoenda sahivi bila cheti huingii na ukiwa na cheti unapimwa mara 2 within 14days Tanzania hili tulichelewa tu ilitakiwa iwe kwa abiria wote regardless wanapotokea
 
Huo ni ushamba kwa maana Kupimwa ni kwa faida yake, familia yake na Taifa kwa ujumla make you hii CORONA iliyopo India ni Kiboko na real threat kwa ustawi wa Taifa lolote.
Anataka kuleta utata wa kishamba wa kiarusha ule! Ngoja wamtie ndani wamchape virungu nchi inaweka utaratibu yeye anajiona mwamba
 
Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19.

Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Serikali, wenyeji wanaorejea na wageni kutoka nje wanatakiwa kuwasilisha kipimo kinachothibitisha hawana maambukizi ya Covid-19, huku wanaotoka nchi zenye maambukizi wakitakiwa kupimwa kwa kipimo maalum ambacho kitagharimu Dola 25 za Marekani, sawa na Sh57,500 kwa kila msafiri.

Inadaiwa kuwa Dongo Janja aliyekuwa akitokea Afrika Kusini alipinga kufanya kipimo hicho ambapo kupitia ukurasa wake wa Twitter msanii huyo wa Bongofleva ameandika, hii nchi Tanzania bado ina uonevu wa kishamba sana, sidhani kama mama yetu Rais Samia Suluhu anafahamu.. muda huu nafika uwanja wa ndege wa kimataifa nikitokea Afrika Kusini na Afrika Kusini huko nimepima na nina majibu ya corona lakini hawayataki wanataka hela kutupima upya.”

“Sasa ndugu zangu wa Tanzania mimi nina hela lakini sitoi hata kumi..., mniletee uji kituo nitakachokuwepo nikikosekana hewani shughulikeni na Polisi wa uwanja wa ndege.”

Chanzo: Mwananchi
Dogo kakaza
 
Dogo aliwatambia watu Irene kamfia kwasababu ana gegedo kubwa. Irene akawa anamuangalia tuu kwasababu gegedo lake lilikuwa linaelea tu. Baada ya wiki mbili walipofunga ndoa Irene akasema this is bullshit kwasababu alizoea mijolobe mikubwa kama mkono wa mtoto mdogo (toddlers hand) akaamua kumkacha. Dogo ilimuuma sana
 
Pumbavu huyu hajui kwamba kirusi cha korona kinaweza hata kuwa kimejificha kwenye memory ya simu yake na kinaweza kutoka hiko mafichoni wakati wowote anapokuwa katikati ya safari na kikaingia makalioni mwake kikatambaa na makalio,kikapita mgongoni,shingoni kisha kikaingia popote kinapoona panafaa kuingia kule usoni mwake au kinaweza kukaa kwenye hayo makatani yake kichwani
 
Dogo hajui kua hio korosho anaweza kuipata humohumo ndani ya ndege wakati wa safari.
Sasa kama ameipata kwenye ndege maana yake kuna uwezekano mkubwa kuwa haitaonekana kwenye kipimo sababu itakuwa ni masaa machache tu toka akipate!
 
Back
Top Bottom