Kuna variant ndiyo zinazolengwa. Hizo variants zikiingia huwa kunakuwa na milipuko na tunaweza kuwa na mlipuko hatari kama tukiruhusu hovyohovyo hasa nchi zenye variant zinazoua watoto wadogo.Yani huku mitaani wameachia tu watu waambukizane corona wanavyotaka halafu et mapambano yao ya corona wameelekeza kwa watu wanaoingia nchini kutoka nje ya nchi.
Nachotaka mimi ni kwamba kama kweli tupo serious kuzuia maambukizi ya corona basi tuanze na kuzuia huku ndani wenyewe ili tusije na sisi yakatokea kama ya India ambao nao walijichia kama tunavyofanya sisi, ila sasa kilichopo ni kuona kuwa sisi wenyewe nchini tupo salama kabisa ndio maana tumejiachia, corona tunayoiogopa ni kutoka mataifa mengine ila tupo salama.Mkuu kwa hiyo unataka mtu atokaye India aingie tu halafu ajichanganye huko mtaani!?
Ni haki yake anaitumia kukata mauno huko ccm na ni haki yake pia kudai haki pale anapoona hakuna haki.Aendelee kukata viuno kwenye mikutano ya CCM .
Na ni haki yangu kukuelekeza wewe na yeye mkakatiane viuno kwenye majukwaa ya ccm.Ni haki yake anaitumia kukata mauno huko ccm na ni haki yake pia kudai haki pale anapoona hakuna haki.
Kama India tunaambiwa hicho kinachotokea sasa huko ni kutokana na mikusanyiko waliyoifanya hapo kati na ndio kitu ambacho tunakifanya kwa muda sasa tena afadhari ya India ila hilo kwetu hatuoni tatizo tunaona tupo salama tu ila hofu yetu ni hizo variant kutoka India SA na Uingereza tu.Kuna variant ndiyo zinazolengwa. Hizo variants zikiingia huwa kunakuwa na milipuko na tunaweza kuwa na mlipuko hatari kama tukiruhusu hovyohovyo hasa nchi zenye variant zinazoua watoto wadogo.
Itakuwa hatari kwetu.
Suala la kukata viuno hata halihusiani hapa kama linakuchefua ni shida yako ndio demokrasia hiyo vumilia tu, mwenye kutaka kukata viuno akate na mwenye kutaka kupiga deki barabarani apige tu kila mtu ana haki.Na ni haki yangu kukuelekeza wewe na yeye mkakatiane viuno kwenye majukwaa ya ccm.
Kwahiyo kama unahela ndio utoe tu hovyo?Dogo Jinga lipa usd 25 upimwe uviko...Kama umelipa zaidi ya usd 300 kweye usafiri ndio ushindwe usd 25?
Mataga hebu punguza jazba.Suala la kukata viuno hata halihusiani hapa kama linakuchefua ni shida yako ndio demokrasia hiyo vumilia tu, mwenye kutaka kukata viuno akate na mwenye kutaka kupiga deki barabarani apige tu kila mtu ana haki.
Tuseme kwamba hilo nalo ni kosa. Je tusiwapime na kuwatenga wageni?Kama India tunaambiwa hicho kinachotokea sasa huko ni kutokana na mikusanyiko waliyoifanya hapo kati na ndio kitu ambacho tunakifanya kwa muda sasa tena afadhari ya India ila hilo kwetu hatuoni tatizo tunaona tupo salama tu ila hofu yetu ni hizo variant kutoka India SA na Uingereza tu.
Kwahiyo kama unahela ndio utoe tu hovyo?
Sasa tunachokifanya sisi hakina sura ya kuzuia maambukizi ya corona ndio maana watu huona ni upigaji tu hivyo vipimo vya corona, huwezi ukajifanya unazingatia kuzuia maambukizi kutoka nje ya nchi halafu wenyewe ndani ya nchi mmejiachia tu kuambukizana. Huyo Dogo janja anaweza akakubali kulipa na kupimwa na kukutwa hana corona ila akaja kuambukizwa corona ndani ya nchi kiuzembe tu kwa sababu tumebariki kuambukizana wenyewe kwa wenyewe.Tuseme kwamba hilo nalo ni kosa. Je tusiwapime na kuwatenga wageni?
Ni sawa na kusema kwamba usijitibu homa kwa sababu tayari una cancer.
Unaingiza uccm na kunibatiza uccm ndio maana unaona napagawa ila mie sipo huko na wala sishabikii chama.Si ndio sera zenu za ccm zinavyotaka? Alipe tu hakuna namna.
Halafu naona kama umepagawa mimi nimesapoti alipe ili serikali ipate mapato umeona ngoja uende tofauti na mimi coz mimi ni upande mwingine na pia ningesema asilipe napo ungepinga.
Niwe na Jazba ya nini sasa? labda wewe mkuu ambaye unaumia kuona wasanii wakitoa burudani ccm.Mataga hebu punguza jazba.