Huku anapokuja ndio nadhani imejaa maana mikusanyiko kama yote tena bila tahadhari zozote ndio maana Dogo anaona ni ujinga kulipishwa et wampime corona wakati watu wenyewe hawapo serious na hiyo corona hivyo ni upigaji tu.Dogo hajui kua hio korosho anaweza kuipata humohumo ndani ya ndege wakati wa safari.
Unaingiza uccm na kunibatiza uccm ndio maana unaona napagawa ila mie sipo huko na wala sishabikii chama.
Hoja yangu sio kulipa au kutokulipa bali ni mantiki ya huko kufanya hivyo vipimo. Yani kwamba huku ndani tuambukizane corona tutakavyo ila mtu akitoka nje ya nchi ndio tunajifanya kujali maambukizi ya corona na kutaka tumpime.Haueleweki wewe waliosema alipe unawapinga na waliosema wasilipe pia unawapinga.
Hoja yangu sio kulipa au kutokulipa bali ni mantiki ya huko kufanya hivyo vipimo. Yani kwamba huku ndani tuambukizane corona tutakavyo ila mtu akitoka nje ya nchi ndio tunajifanya kujali maambukizi ya corona na kutaka tumpime.
Mrangi huyo sema kakulia Arusha tu. Ila Kirangi anakiongea vizuri sana.Mchaga mbahili huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bahati mbaya kaenda kulalamika twitter walipojazana team corona, team barakoa, apime tu
Nimejaribu kuwaza yale ya Tanzania na Kenya pale mpakani. Ina maana mtu akija na Cheti kutoka Kenya anapimwa tena? Au mkutano wa juzi mie sijauelewa.Ila Dogo hoja yake ina mashiko ni basi tu watu hamjafikiria critically
Tutajua aje kuwa alikuwa Afrika ya kusini?Dogo anataka kugeuka mwanaharakati?
Wamuingizie kabisa stick matak©Ni watoe sampuli...Hawa walijifanya Sana kujipendekeza kwa meko ili wapate unafuu wa maisha at the expense of Tanzanians
Dogo vijihela vya endorsement vinampa kiburi huyu 🤣🤣🤣 nimeona kanasafiri safiri kanaenda Dubai na South mara kadhaa inaonekana shimo limetema.Dogo anataka kugeuka mwanaharakati?
Anahisi anaishi dunia yake mwenyewwHajasikia muongozo uliotolewa.
Anataka kuleta utata wa kishamba wa kiarusha ule! Ngoja wamtie ndani wamchape virungu nchi inaweka utaratibu yeye anajiona mwambaHuo ni ushamba kwa maana Kupimwa ni kwa faida yake, familia yake na Taifa kwa ujumla make you hii CORONA iliyopo India ni Kiboko na real threat kwa ustawi wa Taifa lolote.
Wangapi wametoka South wamelipa yeye alete utata? Yeye ndiye mjanja kuliko wenzie waliolipia kipimo awali?Kwahiyo kama unahela ndio utoe tu hovyo?
Dogo kakazaWatu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19.
Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Serikali, wenyeji wanaorejea na wageni kutoka nje wanatakiwa kuwasilisha kipimo kinachothibitisha hawana maambukizi ya Covid-19, huku wanaotoka nchi zenye maambukizi wakitakiwa kupimwa kwa kipimo maalum ambacho kitagharimu Dola 25 za Marekani, sawa na Sh57,500 kwa kila msafiri.
Inadaiwa kuwa Dongo Janja aliyekuwa akitokea Afrika Kusini alipinga kufanya kipimo hicho ambapo kupitia ukurasa wake wa Twitter msanii huyo wa Bongofleva ameandika, hii nchi Tanzania bado ina uonevu wa kishamba sana, sidhani kama mama yetu Rais Samia Suluhu anafahamu.. muda huu nafika uwanja wa ndege wa kimataifa nikitokea Afrika Kusini na Afrika Kusini huko nimepima na nina majibu ya corona lakini hawayataki wanataka hela kutupima upya.”
“Sasa ndugu zangu wa Tanzania mimi nina hela lakini sitoi hata kumi..., mniletee uji kituo nitakachokuwepo nikikosekana hewani shughulikeni na Polisi wa uwanja wa ndege.”
Chanzo: Mwananchi
Sasa kama ameipata kwenye ndege maana yake kuna uwezekano mkubwa kuwa haitaonekana kwenye kipimo sababu itakuwa ni masaa machache tu toka akipate!Dogo hajui kua hio korosho anaweza kuipata humohumo ndani ya ndege wakati wa safari.