sir venance
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 151
- 223
Huku ikisemekana kuwa msanii huyo wa bongo fleva hana hali nzuri kisaikolojia,kufuatia taarifa za kuwa amemwagwa rasmi na mke wake Irene uwoya,janjaro Leo ameonekana katika picha ya pamoja na Dr Chris mauki ambaye ni mtaalamu wa saikolojia na mahusiano,huku picha hiyo ikienda sambamba na caption inayosomeka "tunahitajiana",Nini maoni yako?