Dogo janja Ana kwa ana na Dr. Chris Mauki

Dogo janja Ana kwa ana na Dr. Chris Mauki

Uwoya ni jini lile,angewauliza watu wa karibu na Hamad Ndikumana,wangempa data
 
Huyu dogo ametuaibisha sana machalii wenzake wa Chugga.

Nilifurahi sana alipoimbaga ile "Usiskize mboyoyo ya hawa maboya, wanaosema namtamani uwoyaa".


Alafu siku si siku eti dogo anatoka na uwoya. Nilimmind sana. Ila kama ameshapigwa chini nadhani ni kwafaida yake zaidi kuliko hasara.

Haiwezekani chalii mdogo kama Janjaro atoke na libibi kurumbembe lililoshindikana asee.

Rudi bakta chalii tutafute manzi mmoja wa kirangi hapa ngarna uoe.
 
Yani dgo inaonesha watuwake wa karibu sio washauri wazuri kabisa......mpka amefikia hatua hii.....no one gaves him an alert
 
Back
Top Bottom