Dogo Janja: Nammezea mate sana Irene Uwoya tangia nikiwa mdogo, naomba siku moja nitimize ndoto

Dogo janja unatakiwa shule uitumie katika maisha yako, **** zote azitofautiani
 
Kuna mengi ya kujiuliza huyo ngalelo anaweza kumdhibiti asiendelee kudanga au ndio mario baloteli
 
Arusha ni Mkoani,akija Dar anakutana na MASHANKUPE yaliyoshindikana dogo anajiona mjaaaanja.
 
Hakuna kukata tamaaa mpaka kimeeleweka dogo piga mbupu cha msingi umetimiza haja ya Moyo wako hata ukikaa nae siku nne inatosha kabsa hata Mandela alisema ntakua Rais Hata kwa siku nne inatosha japo alifungwa miaka 27
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…