Frank martin
New Member
- Dec 7, 2016
- 3
- 2
Kaza tu kujina mbona yuko simple ila hamtawezana mana nyi mnazielewa sana pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo tayariHawa watoto wanapenda sana kuchungulia wakubwa.
hii tabia ya kuchungulia wakubwa siachi ng'ooooo maana nimegundua mnaipenda kweliHawa watoto wanapenda sana kuchungulia wakubwa.
Picha tafadhali isije ikawa KikiNdo tayari
We jamaa hulali??? Au kitanda kina kunguni???Picha tafadhali isije ikawa Kiki
Nalala, kitanda hakina kunguniWe jamaa hulali??? Au kitanda kina kunguni???
hahaha si kweli my dada,umesahau wiki chache zilizopita Irene alituonyesha Tatoo mpya iliyoandikwa "Salah" . Mjini hapaNdo tayari
Anamsokomezea mkunyenye ajuzaMiezi imekatika dogo ndo baba mwenye nyumba