Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 594
- 291
Habari wakuu.! Kuna dogo ana div 1 ya 9 amechaguliwa udom na chuo cha mipango Dodoma, lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo sasa anatumiwa meseji kila siku ya Ku confirm. Anasubiri deadline ifike then aombe tena chuo kingine tofauti na hivo. Sasa je haitaleta changamoto? Anaejua utaratibu wa siku hizi ukoje msaada.!
Habari wakuu!
Kuna dogo ana div 1 ya 9 amechaguliwa udom na chuo cha mipango Dodoma, lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo sasa anatumiwa meseji kila siku ya Ku confirm.
Anasubiri deadline ifike then aombe tena chuo kingine tofauti na hivo. Sasa je haitaleta changamoto?
Anaejua utaratibu wa siku hizi ukoje msaada!
Awe makini, anaweza kusaga soli kitaa na digrii akaisikia. Hizo point tisa siku hizi ni kitu cha kawaida sana. Vijana wapo wengi, nafasi ni chache sana. Jambo la muhimu ni kwanza afahamu anachotaka kusoma(programu). Kisha acheki vyuo na programu zao. Atazame viwango vya points wanazotaka kwa kila programu. Unaweza ukawa na hiyo poit tisa yako lakini kuna kozi hupati.Minashauri akomfirm afu afanye mpango wa kuhaMa if possible sababu akiviacha huenda huu mwaka ukampita sababu kupata chuo second round kwa kozi anayoitaka inawezaleta changamoto
Lakini kama yupo tearii huu mwaka kumpita bas afanye ivo unavotaka afanye
Kwanza Mimi sio dogo utambue hilo. Inonekana hujaelewa bado. Kachaguliwa vyuo viwili hivyo anatakiwa a confirm chuo kimoja wapo kati ya udom na mipango na usidanganye watuAcha uongo dogo, acha kudanganya. Vyuo unachagua kimoja kimoja kwenye akaunti tofauti tofauti iweje useme amechaguliwa alafu yeye havitaki?? kwani si ndiye aliyefungua akaunti kwenye hivyo vyuo au.
Alichagua social scienceKwani udom kachaguliwa kozi gani?
Tuanzie hapo kwanza
Bora nursingHivi kusoma diploma ya nursing au degree ya Environemnt kipi bora kwa hali ya sasa ya ajira?
Environment ipi ?Hivi kusoma diploma ya nursing au degree ya Environemnt kipi bora kwa hali ya sasa ya ajira?
Lakini si aliomba mwenyewe hizo course?Kwanza Mimi sio dogo utambue hilo. Inonekana hujaelewa bado. Kachaguliwa vyuo viwili hivyo anatakiwa a confirm chuo kimoja wapo kati ya udom na mipango na usidanganye watu
Bsc deals with environment zipo nyingi ipo hii kozi nzuri natamani nirudishe siku nyuma nimshauri dogo langu asome maana ukitoboa unakula maisha Kama wanafunzi wa tandabui 😀 inaitwa environment engeering ipo ARU na udom. Hila Kam ni tofauti ni heri hata aende educationHivi kusoma diploma ya nursing au degree ya Environemnt kipi bora kwa hali ya sasa ya ajira?