Dogo kachaguliwa UDOM na Mipango ila hataki hivyo vyuo

Dogo kachaguliwa UDOM na Mipango ila hataki hivyo vyuo

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
594
Reaction score
291
Habari wakuu!

Kuna dogo ana div 1 ya 9 amechaguliwa udom na chuo cha mipango Dodoma, lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo sasa anatumiwa meseji kila siku ya Ku confirm.

Anasubiri deadline ifike then aombe tena chuo kingine tofauti na hivo. Sasa je haitaleta changamoto?

Anaejua utaratibu wa siku hizi ukoje msaada!
 
Habari wakuu.! Kuna dogo ana div 1 ya 9 amechaguliwa udom na chuo cha mipango Dodoma, lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo sasa anatumiwa meseji kila siku ya Ku confirm. Anasubiri deadline ifike then aombe tena chuo kingine tofauti na hivo. Sasa je haitaleta changamoto? Anaejua utaratibu wa siku hizi ukoje msaada.!

Minashauri akomfirm afu afanye mpango wa kuhaMa if possible sababu akiviacha huenda huu mwaka ukampita sababu kupata chuo second round kwa kozi anayoitaka inawezaleta changamoto
Lakini kama yupo tearii huu mwaka kumpita bas afanye ivo unavotaka afanye
 
Habari wakuu!

Kuna dogo ana div 1 ya 9 amechaguliwa udom na chuo cha mipango Dodoma, lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo sasa anatumiwa meseji kila siku ya Ku confirm.

Anasubiri deadline ifike then aombe tena chuo kingine tofauti na hivo. Sasa je haitaleta changamoto?

Anaejua utaratibu wa siku hizi ukoje msaada!

Aende UDOM tuu kwan kuna shida gani au kozi aliyochaguliwa haitaki.!?
 
Sio tu chuo mwambie pia mkopo utamsumbua pia kama atakuja kupata atasumbuka sana mwishoni mwa semester huko
 
Minashauri akomfirm afu afanye mpango wa kuhaMa if possible sababu akiviacha huenda huu mwaka ukampita sababu kupata chuo second round kwa kozi anayoitaka inawezaleta changamoto
Lakini kama yupo tearii huu mwaka kumpita bas afanye ivo unavotaka afanye
Awe makini, anaweza kusaga soli kitaa na digrii akaisikia. Hizo point tisa siku hizi ni kitu cha kawaida sana. Vijana wapo wengi, nafasi ni chache sana. Jambo la muhimu ni kwanza afahamu anachotaka kusoma(programu). Kisha acheki vyuo na programu zao. Atazame viwango vya points wanazotaka kwa kila programu. Unaweza ukawa na hiyo poit tisa yako lakini kuna kozi hupati.
 
Hivi kusoma diploma ya nursing au degree ya Environemnt kipi bora kwa hali ya sasa ya ajira?
 
Acha uongo dogo, acha kudanganya. Vyuo unachagua kimoja kimoja kwenye akaunti tofauti tofauti iweje useme amechaguliwa alafu yeye havitaki?? kwani si ndiye aliyefungua akaunti kwenye hivyo vyuo au.
 
Acha uongo dogo, acha kudanganya. Vyuo unachagua kimoja kimoja kwenye akaunti tofauti tofauti iweje useme amechaguliwa alafu yeye havitaki?? kwani si ndiye aliyefungua akaunti kwenye hivyo vyuo au.
Kwanza Mimi sio dogo utambue hilo. Inonekana hujaelewa bado. Kachaguliwa vyuo viwili hivyo anatakiwa a confirm chuo kimoja wapo kati ya udom na mipango na usidanganye watu
 
Hivi kusoma diploma ya nursing au degree ya Environemnt kipi bora kwa hali ya sasa ya ajira?
Environment ipi ?

Kuna kozi nyingi za Environment, taja jina zima la kozi.
 
Hivi kusoma diploma ya nursing au degree ya Environemnt kipi bora kwa hali ya sasa ya ajira?
Bsc deals with environment zipo nyingi ipo hii kozi nzuri natamani nirudishe siku nyuma nimshauri dogo langu asome maana ukitoboa unakula maisha Kama wanafunzi wa tandabui 😀 inaitwa environment engeering ipo ARU na udom. Hila Kam ni tofauti ni heri hata aende education
 
lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo

Hapo umetudanganya
 
Dogo ana ringa eeh[emoji28][emoji28] asubiri third round ndo atajua hajui .atakaa bench mwaka mzima kwanza.
 
Back
Top Bottom