Dogo Oil sumu punguza kiherehere na dharau.

Status
Not open for further replies.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Huyu dogo amekuwa anadharau vyuo vya wengine na kujisifia amechaguliwa udsm(muce) BAED, anashindwa kujua kuwa anatakapomaliza chuo ataajiriwa na serikali na watalipwa mishahara sawa na waliosoma teku,kiu,saut na vyuo vyote anavyodharau.
 
Ndo alichokuwa anataka hicho awe maarufu humu jf..! Jitu lenyewe limepangiwa mkwawa hukoo je ingekuwa udsm(main campus) au duce c ndo angejionaa genius..!
 
Huyu dogo amekuwa anadharau vyuo vya wengine na kujisifia amechaguliwa udsm(muce) BAED, anashindwa kujua kuwa anatakapomaliza chuo ataajiriwa na serikali na watalipwa mishahara sawa na waliosoma teku,kiu,saut na vyuo vyote anavyodharau.

jamani msameheni bure!
 
Chuo hakikufanyi kuwa bora zaidi ni mtu mwenyewe anasahau kuwa hata shule za kata zinafaulisha kuliko zile za zamani(kongwe) ana tabia za kihaya wakati yeye mchaga, angepata one sijui ingekuweje.
 
one tena! mbon jukwaani pasinge ingilika
 
KASOMEA SHULE GANI(O-LEVEL&ADVANCE) HUYU MBUZI OIL SUMU?? ,MAANA UTAFITI UNAONyesha watu wengi waliosomea shule za kata(advance&olevel), wakiingia chuo huwa wana matatizo sana
 
Huyu dogo amekuwa anadharau vyuo vya wengine na kujisifia amechaguliwa udsm(muce) BAED, anashindwa kujua kuwa anatakapomaliza chuo ataajiriwa na serikali na watalipwa mishahara sawa na waliosoma teku,kiu,saut na vyuo vyote anavyodharau.

hahaha mwambie huyo dogo akae kimya......yaani ye huko muce ndo kaona maali,na tukisema sisi wazee wa chama kubwa open atashaaje?
 
Chuo hakikufanyi kuwa bora zaidi ni mtu mwenyewe anasahau kuwa hata shule za kata zinafaulisha kuliko zile za zamani(kongwe) ana tabia za kihaya wakati yeye mchaga, angepata one sijui ingekuweje.

mkuu Molembe kabila langu ndo umetolea mfanoo daah nitake radhii mbona me cpo hvooo
 
Last edited by a moderator:
Huyu dogo amekuwa anadharau vyuo vya wengine na kujisifia amechaguliwa udsm(muce) BAED, anashindwa kujua kuwa anatakapomaliza chuo ataajiriwa na serikali na watalipwa mishahara sawa na waliosoma teku,kiu,saut na vyuo vyote anavyodharau.

Ni utoto tu.. tumsamehe
 
Anakopi miendo yangu hajui mimi nafanya hivyo ili nipate challenge jf,

duh, kwa hii comment umesolve one of the biggest puzzles that I've had for a while! "Hivi mtu mwenye akili timamu anawezaje kuongea such ridiculous things" kumbe unafanyaga on purpose enh!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…