sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Dogo paten ni msanii wa singeli aliyebahatika kutengeneza hitsong moja ya Afande.
Kwa kuwa ni msanii average haitotokea atoe hitsong nyingine bahati uwa haitokei mara mbili.
Nachoshangaa sababu ya umbumbumbu wake ameinua mabega anavimbia watu.
Amevimbia Mjini FM
Kamvimbia Zuchu.
Anavimbia mameneja na watu waliomshika mkono.
Inawezekana ni utoto au ni ujinga unamsumbua ila majibu anaenda kuyapata soon.
Arudi shuleni asikimbie shule itamstiri