Dogo Pateni ni msanii wa singo moja, amemaliza muziki wake tayari

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,704
Reaction score
9,932
Dogo paten ni msanii wa singeli aliyebahatika kutengeneza hitsong moja ya Afande.

Kwa kuwa ni msanii average haitotokea atoe hitsong nyingine bahati uwa haitokei mara mbili.

Nachoshangaa sababu ya umbumbumbu wake ameinua mabega anavimbia watu.
Amevimbia Mjini FM
Kamvimbia Zuchu.
Anavimbia mameneja na watu waliomshika mkono.

Inawezekana ni utoto au ni ujinga unamsumbua ila majibu anaenda kuyapata soon.

Arudi shuleni asikimbie shule itamstiri
 
Wasanii kwa sasa hawasikiki hata diamond katoa nyimbo hazisogei
 
Chai
 

Bro kwenye hii Dunia unatakiwa uwe na very hard skin to survive, ukiwa sensitive huwezi kuendana na walimwengu maana sio sanaa tu mpaka huko makazini pia wamejaa watu wenye negative energy na wa kukatisha tamaa. Unatakiwa uwe strong, utumie akili na uzibe masikio kweli kweli, maana Dunia hii kila unalofanya si watu wote hawako upande wako
 
Diamond asingewavimbia clouds angepotezwa,sometimes kuvimba ndo njia ya kutoboa usikariri maisha.
 
Sawa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…