Mkuu huu mchezo hua hauzungumziwi Ila unapendwa San kitaa,Hiyo michezo mnaifatiliaga wapi?
We jamaa baana hivi comments zako unawazaga nn [emoji23]?Ngoja tuone...
A.k.a sugara nyota unawasha mbele na nyuma[emoji3][emoji3][emoji3]Tatizo Dar mnacheza kula mbele tu kete zinapita matakoni inaachwa, Hii tabia ya kushikana matako sio nzuri.
Mimi ni fundi mkuu kwenye drafti lakini hapo mjini nilishindwa maana nimezoea kutandika kete za nyuma.
[emoji23][emoji23][emoji23]best way comment hiyo hum jukwaani...We jamaa baana hivi comments zako unawazaga nn [emoji23]?
Hawa wakina sisco wanavyoshinda hayo mataji Ronaldo na Bedui wanakuwa wapi ?
wapi walichezea, pale Manyanya ?Bedui kashazeeka sasa hivi.
Wiki mbili zilizopita Sisco alicheza Man to Man na Ronaldo, game ikiisha kwa Sisco kushinda 5 - 1.