Dogo sisco ashindanishwe na Yasini kwenye draft

Dogo sisco ashindanishwe na Yasini kwenye draft

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Inasemekana sisqo anajua Draft kuliko Yasini maana Sisco anamfungaga sana Yasini, inatakiwa waandaliwe pambano Sisco vs yasini, au Hao wawili walishashindanishwaga baada Yasini kuchukua java cup?

Tujuzane Darius RR ilala yetu
 
Dogo Sisqo mechi ya mwisho waliyopambanishwa alishinda 2 bila.

Baada ya hapo kuna mashindano Dogo Yassin alichukua na yaliyofatia akachukua Dogo Sisqo; haikuwa ya Java Cup.

Sisqo ni mkali kwa sasa.
Sisco ni hatari Darius RR
 
Tatizo Dar mnacheza kula mbele tu kete zinapita matakoni inaachwa, Hii tabia ya kushikana matako sio nzuri.
Mimi ni fundi mkuu kwenye drafti lakini hapo mjini nilishindwa maana nimezoea kutandika kete za nyuma.
A.k.a sugara nyota unawasha mbele na nyuma[emoji3][emoji3][emoji3]

#utasikia nilisubiri usukume hiyo ngoja sasa nikule nyuma
 
Back
Top Bottom