Dogo sisco ashindanishwe na Yasini kwenye draft

Dogo sisco ashindanishwe na Yasini kwenye draft

Nimesoma uzi huu UCHWARA nikaishia kusonya.

Huyo sisko wenu uchwara siku ajichanganye akutane na π‘€π‘Žπ‘ π‘‘π‘’π‘Ÿπ‘£π‘Šπ΄π‘ƒπΈπΎπΈπ‘ŒπΈ maji asipoyaita maa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wapambanishe, huyo π‘€π‘Žπ‘ π‘‘π‘’π‘Ÿπ‘£π‘Šπ΄π‘ƒπΈπΎπΈπ‘ŒπΈ anachezea wapi...Aje manyanya awekewe hata milioni..unatutajia watu wako wa vichakani huko..
 
Kawaida sana, dalmax anafungwa..

NB:Watu hawapo kwa ajili ya kucheza na dalmax, wapo kukagua miguu na kufundishana kwa kutumia dalmax
 
Kawaida sana, dalmax anafungwa..

NB:Watu hawapo kwa ajili ya kucheza na dalmax, wapo kukagua miguu na kufundishana kwa kutumia dalmax
Ni kwel mkuu kule dalmax no kwa ajili ya kujifua tuh Ila uchezaj wao ni wakawaida San...
 
Poa .lakini si una download tu .
Shida IPO wapi.nataka nione ukali wako.
Download cheza nae gemu moja .
Mimi nachezea vichapo Hadi supa kanifunga Mara mbili roho inauma sana
Mkuu nitaitafuta maana nlishaifuta ktambo San,. Cku hiz natembelea kwenye vijiwe tuh ili nipate copy mpya..
 
Poa .lakini si una download tu .
Shida IPO wapi.nataka nione ukali wako.
Download cheza nae gemu moja .
Mimi nachezea vichapo Hadi supa kanifunga Mara mbili roho inauma sana
Mkuu hiz hapa michezo mitatu golo mbili sare mojaView attachment 2086414
Screenshot_20220118-120124.jpg
 
Back
Top Bottom