Dogo Young Lunya ni nani?

Dogo Young Lunya ni nani?

Anaitwa Rashid Lunyalile

Lunya ni kifupi cha surname.

Katokea mkubwa na wanawe, mkubwa fella ndio aligundua kipaji chake.

Ni dogo ana respect kwa kaka zake sana na hana maishu ya ajabu.
Ni mkali sana na namkubali sana

Details zingine hazihusu na sizijui
Angejiita chid lunya ingependeza zaidi
 
"Mjini sijaja na treni wala bus"

[emoji23] If only Bongo raps were real, hio sentence inatosha kumaanisha kuwa jamaa ni born here here. Msanga iko wapi kwanza mkuu?
Msanga iko Kisarawe Mkuu,
 
"Mjini sijaja na treni wala bus"

😂 If only Bongo raps were real, hio sentence inatosha kumaanisha kuwa jamaa ni born here here. Msanga iko wapi kwanza mkuu?
Mzaliwa wa msanga yule jamaa, mzaramo pure! Kama una hata rafiki wapigie huko wakuelekeze ukoo wa lunyalile unakaa wapi exactly. Bange mtu mmoja tu
 
Mzaliwa wa msanga yule jamaa, mzaramo pure! Kama una hata rafiki wapigie huko wakuelekeze ukoo wa lunyalile unakaa wapi exactly. Bange mtu mmoja tu
Iwe Masaki,Kauzeni,Kibuta,Masanganya,......but we consider wa mjini. Safari ya saa moja sio sawa na mtu anayesafiri kutwa mzima toka mikoani
 
Iwe Masaki,Kauzeni,Kibuta,Masanganya,......but we consider wa mjini. Safari ya saa moja sio sawa na mtu anayesafiri kutwa mzima toka mikoani
Hahaha. Acha bhas... kwetu panzuo-mkamba dar tunakuja hata mara tatu na kurudi dar kwa siku bila shida. lakini ni shamba kuliko maeneo mengine, maji na umeme mpaka leo hayajafika ni ni mkuranga tu hapo nauli ni buku 5
 
Mkuranga bado Mjini mkulu....Dar ni center/mjini ya mkoa wa Pwani. Huwezi Kuta mtu anasema naenda Dar es salaam, wanasema tunapenda mjini alafu ni kitu cha kawaida sana.
 
Back
Top Bottom