Dogodogo alivomuharibia baba mkubwa dakika za mwisho

Kikawaida, Mke wa pili Huwa sawa na Simba awindae mawindo yake


Historia inaonyesha kwamba, Kila aliyeamua kuoa Mke wa pili , ni Ama, alikuja kuuliwa na Mke wa pili Moja Kwa Moja , au amekufa lkn Kwa uhusika wa Mke wa pili.


Wake wakwanza ,Hawa ni wema, wanajua mmetoka mbali sanaaaaaa ,ni ngum kwao KUKUUA.


Fikiria unaoa Mke wapili alafu, Mchaga wa machame 🤣
 
Watakuja na mihemuko yao kimahaba kukwambia kuwa "unaishije na Ke mmoja kama Mama yako mzazi?" [emoji1787]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…