Dogs Coin Airdrop

Dogs Coin Airdrop

Aya, nguvu tuelekeze kwenye Blum. Hii muda si mrefu tutakula hela pia...huhitaji kuweka hela yoyote, kazi yako ni kumine tu!
 
Ni nazo kwenye account yangu ya bank tayari nimeziuza dogz zangu kupitia binance
 
Chukueni hizi mbili za uhakika baada ya dogs

Jitihada yako itakupa matokeo huko mbele

Hiv huu Uzi mbona jamaa hawaelekez jina ya kuwithdraw cash
 
Aya, nguvu tuelekeze kwenye Blum. Hii muda si mrefu tutakula hela pia...huhitaji kuweka hela yoyote, kazi yako ni kumine tu!
Naomba kujua jinsi ya kufanya daily mining km Dogs ktk hii BLUM....aisee Dogs sikuamini aisee maokoto yame mwagika live aisee
 
Wakuu binance walisema wameanzisha binance pay kwa Tanzania pia! Kwamba hadi kwa mobile money lakini nikiangalia naona mobile money hakuna au bado bado?

Pia nauliza hizo njia za benki crdb na nmb ni akaunti za dola au hizi hizi za kawaida za tsh? Maelekezo tafadhali maana jamaa wa p2p wanaringa sana
 
p2p wanazingua nini hasa?
 
Back
Top Bottom