Edgartz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2010
- 241
- 23
yaan kumbe tuko wengi aisee mie niko Pemba weye wapi?
Me nipo tete kiongozi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaan kumbe tuko wengi aisee mie niko Pemba weye wapi?
Hamna sumbufu wowote uwe na pesa ya kulipia mzigo tu ila kama utapitia nchi nyingine ndo ufike mozambigue ndo utapata usumbufu kidogo inakubidi kuacha bondi pesa kidogo mfano unatoka tz kuja mozambigue kupitia malawi au zambia ndo unatakia kuacha dispot kwenye boda za nchi utakazopitia
Asante. Naangalia uwezekano wa kufanya biashara huko. Nikiwa tayari nitakutafuta kukuuliza maswali mengine.
je unapovuka mpaka kutoka tz kwenda mozambique na mizigo mpakani hawasumbui? Ni vibali gani vinahitajika ili mizigo ipite?
Nipo Kiongozi wetu,ni kweli kabisa huku bila kitunguu swaumu mchuzi haujapikika wala samaki/kuku hajakaangika,ila makaburu wa RSA kwa hapa Maputo wanaingiza sana vitunguu na wenyeji na wao wanalima pia,kitunguu kimoja kinachambuliwa au kinauzwa kizima kwa 5 au 10mt. Na exchange rate US$ 1 =27mt. Hiyo ni bei ya kitunguu jijini Maputo.mkuu washawasha, umepotea sana
hao jamaa vyakula vyao vyenye asili ya ki portugese wanapenda sana kutumia vitunguu saumu, unaweza kujua kama vinaweza kuwa ni potential au soko linaweza kupatikana?
Nipo Kiongozi wetu,ni kweli kabisa huku bila kitunguu swaumu mchuzi haujapikika wala samaki/kuku hajakaangika,ila makaburu wa RSA kwa hapa Maputo wanaingiza sana vitunguu na wenyeji na wao wanalima pia,kitunguu kimoja kinachambuliwa au kinauzwa kizima kwa 5 au 10mt. Na exchange rate US$ 1 =27mt. Hiyo ni bei ya kitunguu jijini Maputo.
Aisee kumbe pesa ya Mozambique inathamani kuliko ya tanzania by Far.
Dola 1 ni sawa na Metical 26.8 Source ( XE: (USD/MZN) US Dollar to Mozambican Metical Rate )
wakati Dola 1 ni Sawa na Tsh 1,600.
inamaana Nikiweza kuexport products from Tz to Moza lazima faida iwe kubwa sana.
Naomba kujua Vitu vipi havina import Duty in Mozambique,TRA yao wakoje siyo wasumbufu?
Mkuu je biashara kama ya sembe italipa huko? au nafaka nyingine kama mchele
Mkuu je biashara kama ya sembe italipa huko? au nafaka nyingine kama mchele
kama unaweza fanikisha kuvusha mchele wa tz utaula kwa jumla hapa Pemba nnauza Mt 55 kwa kilo inshortMkuu je biashara kama ya sembe italipa huko? au nafaka nyingine kama mchele
very useful topic, kuna mtu mwingine alishaongelea hii issue ya msumbiji, nami naona dalili ya kunusa huko,je issue ya construction industry vipi huko especially kwa contracts za umeme?
Mkuu huku hmna viza ni paspoti yako tu hata uwe na paspoti ndogo unapeta!Mkuu je Wa TZ wanahitaji kuwa na Visa ya Kusafiria wanapokuja Mozambique?
kaka viza ishafutwa toka zaman mbona Ila mpakan lazma watajidai kukudai kusudi utoe ktu kidogoMkuu je Wa TZ wanahitaji kuwa na Visa ya Kusafiria wanapokuja Mozambique?
Mkuu tuseme mzigo wa mchele kama kilo 10000 mtu anaweza kuchukua muda gani kuuza?