kuepuka usumbufu wa polisi hakikisha kila unapokwenda unapasport hasa ile kubwa ya kitabu, kijitabu kinachoonyesha umechoma kinga ya yellow fever,kitambulisho cha kura muhimu sana na meticais kama mia hivi (cem meticais) mfukoni,raia wa kule wanawachukia wageni sana coz wanawaona wamekuja kuwachukulia kazi zao so huwa na kale jatabia ka kukuchongea kwa polisi ili akukague vibali vyako kama upo kule kihalali,sehem nzuri kufanyia biashara ni nampula,beira,tete na cabo delgado ila mikoa mingine kama zambezia,inhambane,gaza na maputo hovyo kabisa na kunausumbufu mkubwa wa raia wa kigeni na kunaushindani mkubwa kibiashara na wanigeria,wazimbabwe na wasouth