Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
ila lugha ni issue speedy,lizzard. Full kireno.na hela nazo ni changamoto nyingine. Namba iliyoandikwa sio thamani yake kama huku tz unavyotafsiri hela kirahisi. Mfano noti ya 200 thamani yake sina hakika ni kama elfu kumi ya tz na ni kama elfu arobaini mitkash..ila watu wengi wanatoka kimaisha huko mi niko mtwara naona.
kutoka dar mpaka mtwara ni 18000. Mkifika mtwara lala gest flan inaitwa chilindima kusudi asubuh uwah gar za boda. Kutoka mtwara mpaka boda n 5000. Kuvuka mto huwa inaenda mpaka 15000 Ila kama ukinegotiate n 5000 masika, kutoka boda mpaka wilaya flan inaitwa mocimbou n MT 350. sasa hapa unaweza amua kwenda nampula au Pemba kwa ajili ya kupata basi za Maputo. Ukienda Pemba nauli n MT 270. Gharama za gest ziko juu sana Ila kuna hotel flan inaitwa cabo delgado range huwa n kama Mt. 300-500 bila msos. Kutoka Pemba mpaka Maputo kwa basi n MT 2800 Ila bas kama ckosei zipo mara mbili kwa wiki na ni safari ya siku mbili na nusu kwa ndege n MT 9000.
kutoka dar mpaka mtwara ni 18000. Mkifika mtwara lala gest flan inaitwa chilindima kusudi asubuh uwah gar za boda. Kutoka mtwara mpaka boda n 5000. Kuvuka mto huwa inaenda mpaka 15000 Ila kama ukinegotiate n 5000 masika, kutoka boda mpaka wilaya flan inaitwa mocimbou n MT 350. sasa hapa unaweza amua kwenda nampula au Pemba kwa ajili ya kupata basi za Maputo. Ukienda Pemba nauli n MT 270. Gharama za gest ziko juu sana Ila kuna hotel flan inaitwa cabo delgado range huwa n kama Mt. 300-500 bila msos. Kutoka Pemba mpaka Maputo kwa basi n MT 2800 Ila bas kama ckosei zipo mara mbili kwa wiki na ni safari ya siku mbili na nusu kwa ndege n MT 9000.
kutoka boda mpaka hiyo wilaya ya mocimbou usafir n wa landcruiser tena mnajazakana kama nyuki barabara ni vumbi tu. Toka mocimbou mpaka Pemba n lami ingawa kuna sehem barabara inatengenezwa n mbovu. Na pia basi ni moja 2 tena n kimin bas na n asubuh 2 ukikosa mpaka yake na inategemeana unaweza usipate kabisa jiandae na kuPanda malor. Ila kama unaenda Maputo n mara via ukapandie nampula. Ila kama unatoka tz kama Huna Kuna kinjia Acha kupitia newala. Mkifika newala unapanda pikipiki mpaka boda kwa muda wa nusu saa hivi. Ukivuka mto unapata gari za kwenda wilaya inaitwa Mueda, kutoka Hapa magari yapoyapo kidogo ya kwenda nampula na Pemba tofaut na mocimbouMkuu vipi hali ya barabara toka boda kwenda Pemba na pia kutoka Pemba hadi Maputo? Ni lami au baabara ya vumbi
kama unataka fanya kwa rejareja Ili uvune faida kubwa Njoo Pemba Ila kama Unataka jumla nenda nampula. Karibu
Mkuu Edgartz, nimeangalia kwenye google earth inaonekana Tete ni mbali sana toka Mtwara usafiri wa kuja huko ukoje? mnapitia wapi?
Ila kwa hotel unaweza kutengeneza pesa huku misosi bei sana na hata gest na nazani ni popote msumbiji wanamatatizo hayo gest na hotelWakuu, Mozambique sikuwa nawazo nayo kabisaa; kwa walioko huko naomba tufahamishane please; Hivi biashara kama ya Hoteli Ndogo (Guest House) imekaaje, namaanisha mgeni kujenga huko; viwanja katika maeneo mazuri vinatembea bei gani, na siasa zao zimekaaje kwa mgeni kuwekeza namna hiyo? Pia naomba kufahamu biashara ya Mawasilino imekaaje (Cyber Cafe, Hotspots, na ICT solutions?), Bidhaa zao za electronics wanatoa wapi? Pia niliwahi kusikia upatikanaji wa magari na vipuri ni rahisi zaidi na bei nzuri kulinganisha na bongo, vp kama nataka kununua na kuleta magari bongo, au ni ya wizi zaidi? Tupeane uzoefu zaidi kwa mlioko huko. Processza kuanzisha biashara huko zikoje kwa ujumla?
Napatikana kwa: amoebazone@gmail.com
Thanx Wakkuu!
umeme upo bei cheee?inamaana ukiwa na kinu na kupaki unga kama Azam biashara iko vizuri sana.if that is the case,mji Gani unafaa kufanya hii biashara.biashara ya sembe inalipa sana mkuu kwa mozambique, ndo naifanya mie huku sema uwe na capital ya kutosha kununua mahind utafaid kuliko kusubir ya kuletewa. Kwa mfano mie niKo Pemba kipindi cha mavuno naenda vijiji vya ndan sana na kupata mahind kwa Bei ya Mt 1.5 mpaka 3. Na kuuza n mt 18 kwa kilo Hapa n wakat wa mavuno Ila kipindi cha napanda mpaka 25. Pia umeme uko bei chee kinoma. Tatizo linakuja kwenye upande wa packing magunia mpaka nipande dar. Karibu usiwe na was
kutoka boda mpaka hiyo wilaya ya mocimbou usafir n wa landcruiser tena mnajazakana kama nyuki barabara ni vumbi tu. Toka mocimbou mpaka Pemba n lami ingawa kuna sehem barabara inatengenezwa n mbovu. Na pia basi ni moja 2 tena n kimin bas na n asubuh 2 ukikosa mpaka yake na inategemeana unaweza usipate kabisa jiandae na kuPanda malor. Ila kama unaenda Maputo n mara via ukapandie nampula. Ila kama unatoka tz kama Huna Kuna kinjia Acha kupitia newala. Mkifika newala unapanda pikipiki mpaka boda kwa muda wa nusu saa hivi. Ukivuka mto unapata gari za kwenda wilaya inaitwa Mueda, kutoka Hapa magari yapoyapo kidogo ya kwenda nampula na Pemba tofaut na mocimbou
kaka lugha ni Tatizo lakin wengi tunatafuta wafanyakaz wanaojua kiswahili ndo unafanya nao kazi, kuhusu pesa sio kazi kujifunza na mara nyingi hatuconvent mt kwa tsh hapo hasara utaingia, mt 200 n almost
10000
Jaman msibweteke nyumban Njoon mjionee wenyewe. Mie niko Huku toka nimemaliza chuo mwaka huu, pesa ni simpo kupata tofaut na mnavyofikiria. Kila business inalipa. wako nyuma sana na niwabishi kubadilika soo u take that advantage, usafir bado niwa vicanter in most parts of the country, na hata huo usafir wenyewe niwamagumash. Kodi za pango kweli zko juu sana huwez compare na za kwetu. pia waja survey gest za Huku Jaman n Bei kinoma yenye AC jiandae kuanzia 60000 kupanda hapo ni kitanda na tv mchina. msos jiandae kipate ya kutumia grader kutafuna la sivyo uwe na 10000 kwa sahan ya ukweli. Ila hela inapatikana sema wewe unapenda ufanye nin. Hata ukisema uuze nyanya za tz utakuwa milionea. mchele wa tz ukipatikana Unanunuliwa kwa dhaman ya sh 3000 kwa kilo. Pia wengi anapokuwa fanya biashara Huku wasom ni wa kuhesabu. Sasa nawashangaa watu mmesomea engineering mnanakaa dar 2 wakat Huku ukijiwekea kagerej bubu. Kwa mwaka unajenga ghorofa.
SEHEM IPI YA BIASHARA. mikoa yote inalipa Ila nampula ndo jiji la kibiashara zaid ingawa kuna competition kubwa sana lkn sio kama dar, pia Beira na Maputo nako kuko byere Tatizo ni mbali sana almost kama km 2800 kutoka mpakan kwa mtwara. Kama hamuamin subirin mumoone Huyo MANING NICE[kama hatakuwa na mabasi karibia nchi nzima within 2 yrs. Tahadhar. Askar wa Huku ni wasambuf hakuna mchezo yakupasa masaa arobain uwe na paspot
DAH ATLEAST WEWE UMEONGEA UKWELI,NIMEFANYA KAZI VODACOM MOZAMBIQUE MWAKA WOTE WA 2012 NIMEZUNGUKA KILA WILAYA NA MKOA WA MSUMBIJI KUFANYA INSTALLATION KTK MINARA YA VODACOM JAMAA WAPO NYUMA SANA KIMAENDELEO WANAPENDA NGONO NA POMBE ALAFU WAMELALA SANA KAZI HAWATAKI KUFANYA,SO UKIENDA MBONGO KAMA UPO SERIOUS SEHEM ZA KUWEKEZA NI KTK SECTA ZA USAFIRI,CHAKULA NA GUEST HOUSE HIVYO VITU WAPO NYUMA KUPITA MAELEZO WANAISHI KWA KULA SCONZI (PAU) SO UKIWAPELEKEA UNGA,VITUNGUU VYA BONGO,MIHOGO,NYANYA AU MCHELE USHAWIN,UPANDE WA GESTI NIKWAMBA JAMAA WANAPENDA SANA NGONO SO SHORTTIME KWAO NDIO DILI NA INALIPA JUST IMAGINE KA GEST BUBU KANATOZA 250 hadi 500 karibia elfu 25 ya bongo kule wamelaa wewe wapelekee hata madela watanunua wale washamba rais wao chisano alisema mwenyewe kuwa rai wake pengine hadi 2020 ndio wataanza kuamka mreno alisha waaribu akili wale WANADHANI UKIJUA KIRENO NDIO UMEJUA LUGHA ZOOTE DUNIANI KUWA MAKINI NA ASKARI WA KULE WAO WANAAMINI MGENI=DINHERO (PESA),MWINTU OBRIGADO AMIGO
.
mkuu makoshneli asante kwa maelezo murua. Ni namna gani nzuri ya kuepuka usumbufu wa polisi huko? Vipi kwa habari ya raia wenyewe, wanawachukuliaje wageni (wabongo)? Asante sana mkuu.
kuepuka usumbufu wa polisi hakikisha kila unapokwenda unapasport hasa ile kubwa ya kitabu, kijitabu kinachoonyesha umechoma kinga ya yellow fever,kitambulisho cha kura muhimu sana na meticais kama mia hivi (cem meticais) mfukoni,raia wa kule wanawachukia wageni sana coz wanawaona wamekuja kuwachukulia kazi zao so huwa na kale jatabia ka kukuchongea kwa polisi ili akukague vibali vyako kama upo kule kihalali,sehem nzuri kufanyia biashara ni nampula,beira,tete na cabo delgado ila mikoa mingine kama zambezia,inhambane,gaza na maputo hovyo kabisa na kunausumbufu mkubwa wa raia wa kigeni na kunaushindani mkubwa kibiashara na wanigeria,wazimbabwe na wasouth
mademu wale machotara wa kireno na msumbiji ni wazuri sana halafu wanawashobokea sana wabongo.
vp kuhusu lugha? Wanaelewa kidhungu? Au ni kireno tu? Vp kuhusu usalama ? Hamna vitu vyenye ncha kali?