Doing Business in Mozambique

vipi opportunities za biashara ya usafirishaji kwa kutumia semi trailor zinapatikana au ndio zimeshikwa na makampuni kutoka south africa?
 

Basi kumbe language ni barrier tosha kun
 
Basi kumbe language ni barrier tosha kun

Mkuu Sabayi kuna mdau mmoja aliyeko huko alisema wanatumia wenyeji wanaofahamu kiswahili pia. Mie bado niko optimistic kwamba lugha ni tatizo lakini si kubwa kiasi cha kusitisha mipango mizuri. Nikiwaangalia wachina napata shule nzuri tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Sabayi kuna mdau mmoja aliyeko huko alisema wanatumia wenyeji wanaofahamu kiswahili pia. Mie bado niko optimistic kwamba lugha ni tatizo lakini si kubwa kiasi cha kusitisha mipango mizuri. Nikiwaangalia wachina napata shule nzuri tu.

Nakubaliana na wewe mkuu Wachina wanakuja bongo hawajui kiswahili wa kidhungu na wanapiga kazi tu kama kawaida inabidi tusiwe waoga kweli ili mradi chapaa ipo then inabidi kwenda tu mengine mbele kwa mbele
 

we mutu utakujajue bila kutusalimu. Mie nataka u super dealer wa mpesa si ndo mlikuwa mnasimika?
 
Biashara bado inalipa na naona watu walifuatilia sana hii thread kwa sabab ndan ya muda mfupi nimeona maelfu ya watu wameingia mozambique. Ila Kinachonisikitisha ni kuona idadi ya mateja toka Tz ndo imeongezeka sana, kuliko hata wachumaji wenyewe, fursa bado zipo kaka usisubiri kuambiwa funga safari njoo ujionee mwenyewe, kama waja caboDelgado wilaya ya montepuez yaweza kuwa juu kibiashara sana tofauti na Pemba, ila gest bado sana hazijajengwa tatizo kila anayekuja huku Habuni anishia kucopy na kupaste, ndo maana utawakuta asilimia tisin ya watanganyika wako kwenye nguo na wapemba wako kwenye electronics. nawapa challenge wa malori, leta semi trailer lako weka kisomo pemben hata kama Una master shikilia usukan mwenyewe, nawahaKikishia kama sio mvivu na mpenda starehe na sio muoga wa kutafuta oda, hutalala miezi mitano au mitatu utaagiza jingine, ila the best of all ukipata ka fuso tu kwa wanaoanza
 
ila tahadhari kwa wapenda starehe bora mubaki bongo huku mtarostika
 
Ok sikuwahi fikila kuja msumbuji nilipa zarau sasa nime oanga kuja japo nione ndipo nirudi home nijipange nijue nini cha kufanya
 
speedy, mimi nina semi trailor na ninaendesha mwenyewe na ningependa kuja kuangalia opportunities huko tunaweza shirikianaje? (mutual benefit)
 
wakuu nimepita kkoo,wenyeji wa pemba ndio wanakuja dar kuchukua nguo hasa vitenge,kanga na kuna fuso za kwenda pemba na nampula!mwana jf aliyepo huko msumbiji ni mafuta gani ya kujipaka wanapenda huko lotion,jelly,cream,perfume,ya saluni za kike kuosha nywele etc kutoka tanga,dar,kenya,uganda etc bei za jumla huko nampula na pemba pia!nitashukuru sana!biashara ya dawa za binadamu wanasema zinasumbua njiani
 

nina ndugu yangu yupo pemba,anaduka la vipodozi
 
Ila moz huwa inateswa sana na floods,nafikiri tangu last wiki wanapambana na sehemu zilizopata floods.
 
SPEEED,nilisikia serikali ya mozambiq hairusu watu binafsi kufungua maduka ya dawa
 
Nitafute nikupe ki portugues cha kuombea maji na kujua uko wapi Maputo. Bom dia o senhor
 
Japo topic imeshakuwa ya maktaba kwangu mie ambaye nafikiria kuwa mjasiriamali hivi karibuni imenichukua sana, je hakuna mawazo mapya au mabadiliko yaliyojitokeza katika kipindi hiki?
 

asante mkuu nalifanyia kazi hili
 
sio uoga speed,nasikia kibali cha kufungua maduka ya dawa ni kazi sana kupata,ndio mana hapo pemba maduka ya dawa hayafiki hata matatu,nasikia mama Mariam yule wa Mnazi mmoja LINDI,alitaka kufungua duka la dawa msimbwa lakini ameliwa pesa mpaka kachoka,
 
Acha woga mbona site tunamaduka tatizo wengi wanaosema hivo hawatafut vibali


Mkuu speedy vipi biashara ya spare ya magari ya kawaida na malorry kama nataka kuuza nakupindisha sitaki kukaa yaani
 


Hi,
nilivutiwa sana na maelezo yako kuhusu kufanya biashara Mozambique katikA Jf , naomba tuwasiliane zaidi , mimi nipo UK , text hii namba halafu nitakupigia direct +447985616985
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…