Kaká tukija kwenye upande wa vidas VGA magar, mbona utakuwa umerenga. Ila kwangu ningekushaur kama ungeambatanisha na gereji usiogope Kaká.Mkuu speedy vipi biashara ya spare ya magari ya kawaida na malorry kama nataka kuuza nakupindisha sitaki kukaa yaani
Kaká tukija kwenye upande wa vidas VGA magar, mbona utakuwa umerenga. Ila kwangu ningekushaur kama ungeambatanisha na gereji usiogope Kaká.
Mkuu, TETE kuna biz ganihuko, nimecheki google kanaoneka ni kamji kadogo, mjin kamepangiliwa vizuri na kama miundombinu mizuri sana, naona pembeni kana uswazi ya kutosha. Naona Nyerere Road, Nkrumah Road zinanikumbusha wapigania uhuru wa Africa kusini! Na hiyo mito inayokatisha wakati wa mvua hamtembelewi na mafuriko Mkuu?yaah tupo wengi mkuu me nipo tete
Wakuu
Mobile money business imekaaje huko,mitandao gani wanatumia?
Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
mkuu kuna malori ya kusafirisha mizigo mpaka mozambique, kama ungependa kujua nakushauri unde kariakoo kama cjckosea mtaa wa swahili kuna gest unaitwa vunjo jaribu ulizia utapata details zote
Nakuja
kwa kifupi nisema tu mambo yalivyobadilika mozambique soon wafanya biashara wengi watakimbia! usd 1 kutoka 27mt hadi 50mt we acha tu meticais imeporomoka hadi shiling ni bora mara mia!25kg ya unga kutoka 400mt ambayo ilikuwa ni sawa na 20,000tsh hadi 1300mt ambayo ilikuwa ni 65,000tsh!yaani hadi uvivu kusimuliadu bado mnaulizia tu? wangapi wameahaenda maana hii thread ni ya 2011
Hali mbaya! Simtufafanulie nasitujue mmeangukia wapi au umeangukia wapi ili tijue changamotohali mbaya