Doing Business in Mozambique

Doing Business in Mozambique

Mkuu speedy vipi biashara ya spare ya magari ya kawaida na malorry kama nataka kuuza nakupindisha sitaki kukaa yaani
Kaká tukija kwenye upande wa vidas VGA magar, mbona utakuwa umerenga. Ila kwangu ningekushaur kama ungeambatanisha na gereji usiogope Kaká.
 
Wakuu

Mobile money business imekaaje huko,mitandao gani wanatumia?

Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
 
yaah tupo wengi mkuu me nipo tete
Mkuu, TETE kuna biz ganihuko, nimecheki google kanaoneka ni kamji kadogo, mjin kamepangiliwa vizuri na kama miundombinu mizuri sana, naona pembeni kana uswazi ya kutosha. Naona Nyerere Road, Nkrumah Road zinanikumbusha wapigania uhuru wa Africa kusini! Na hiyo mito inayokatisha wakati wa mvua hamtembelewi na mafuriko Mkuu?
Nafurahi sana napoona wabongo wamejichimbia chocho kama hivi wanafanya mambo. Im very inspired Mkuu!
 
mkuu kuna malori ya kusafirisha mizigo mpaka mozambique, kama ungependa kujua nakushauri unde kariakoo kama cjckosea mtaa wa swahili kuna gest unaitwa vunjo jaribu ulizia utapata details zote

Kaka nataka kuanza biashara ya lori niendeshe mwenyewe! huko kuna mizigo gani ya kupakia wakati wa kuja huko na wakati wa kurudi ? Kwa uzoefu wako ni semi trailer au kipisi ?
 
Dar ndipo mizigo ilipo kwa wingi ILA kurudi mtihani ni kubahatisha tu,hata ivyo bado inalipa sana tu,we leta gari tu hasa kipisi utapiga kazi hasa kipindi hiki cha kiangazi,Ukiwa tayari ni PM.
 
Dickson Longo vipi kuhusu semi trailer(FLAT BED) mizigo yake inapatikana kiurahisi?
 
vipi kuhusu biashara ya viatu vya mtumba kuvinunua huko na kuvileta huku tz
 
du bado mnaulizia tu? wangapi wameahaenda maana hii thread ni ya 2011
kwa kifupi nisema tu mambo yalivyobadilika mozambique soon wafanya biashara wengi watakimbia! usd 1 kutoka 27mt hadi 50mt we acha tu meticais imeporomoka hadi shiling ni bora mara mia!25kg ya unga kutoka 400mt ambayo ilikuwa ni sawa na 20,000tsh hadi 1300mt ambayo ilikuwa ni 65,000tsh!yaani hadi uvivu kusimulia
 
Duh noma!!!!?

Sent from my PTM-Z-mini using JamiiForums mobile app
 
hali mbaya kwa kuwa pesa ya Mozambique inayoitwa meticais imeporomoka sana dhidi ya dolar ya Mmarekani ivyo kutoa bidhaa Tanzania mfano unga,nguo,vipodozi n,k na kuipeleka huko hazitaweza kulipa kwa kuwa mwisho wa siku utanunua dola ambayo ipo juu na kukumalizia hela yako uliyokusanya,wakat huo huo maduka yanapangishwa kwa dola 1500 mpaka 2000 kwa mwezi.Kwa ufupi Mozambique sahivi ni shida hasa kwa wajasiliamali wadogo wadogo.
 
interested.

kuna jamaa yangu anatoka UG anasema biashara ya magari kwasasa nu ngumu kwa musebeni. kwasasa anamzuka aje kufungua biashara ya magari mozambique. mi namshawishi afungue hapa dar.
lkn yy mzuka wake mi huko, sijui mlio huko mna ushauri gani kwa hilo.
 
Back
Top Bottom