Hio ni kweli kwa sababu wana population karibia 200 million. Lazima watakuwa na masikini wengi. Mmoja kati ya kila watu watano weusi duniani ni Mnigeria. Hata tukisema kwa mfano 50% yao ni masikini wa kutupwa, hao tayari ni watu millioni mia moja. Kwa upande mwingine Nigeria ina matajiri wengi, hata tukisema 5% yao ni matajiri wakubwa, hio unaweza dhani ni idadi ndogo lakini 5% * 200 million = 10 million. Hao tayari ni matajiri 10 million. Ninachojaribu kusema ni kuwa nchi kubwa kama Nigeria kuwa na Gdp per capita kubwa kushinda Kenya au Tanzania ni aibu kwetu.